PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia.
Asilimia kubwa ya ndugu zangu wa vijijini hupigia kura chama na sio mtu kwa sababu ya historia.
Uchaguzi wa mwaka 2025 CHADEMA wanatakiwa kufocus zaidi kuhakikisha walau kila kata wanapata walau mwenyekiti mmoja wa kijiji.
CHADEMA wanatakiwa kuhakikisha kila kijiji walau wanapata hata wenyeviti wa vitongoji wanaotokana na hicho chama.
CHADEMA pia wanatakiwa kuhakikisha mwaka 2025 wanaingiza Madiwani na Wabunge wengi ili kuhakikisha wanawavuta watu wengi zaidi kuelekea 2030.
CHADEMA Imekuwa kila siku inaikabiri njaaa kwa mbinu za Jana. Mnatakiwa kuwaandaa vijana hao wa 95-2012 ambao ndio watakuwa wapiga kura wakuu.
NB, CHADEMA NENDENI VIJIJINI MKAZALISHE WATU.