LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kw
Kweli mkuu,Tamisemi wamekomaa wasimamie!
 
mbona unajipa matumaini yaliyokufa kiasi hicho yaaani kama chadema wakikomaa unajuwa kabisa hawawezi kukomaa mpaka washinde matumaini hakuna wananchi wameshawapuuza hamtangzi sera mnatangaza majungu nani ataishi kwa majungu yenu kwa faida ya nani
 
Hata wakikomaa wawe kama vibunzi hawawezi kushinda uchaguzi
 
Chadema ni kama povu la sabuni ya unga katika beseni, linatuna juu (uongozi wa juu wa CDM) , unaweza kudhani ni imara kama jiwe, weka mguu sasa ndio utajua
 
Nimeangalia clip ya Wana CHADEMA Tarime Mjini kweli wamejipanga. Wameweka wakala wao kila kituo cha kuandikisha kura. uandikishaji utakaoanza tarehe 11 Oktoba, 2024 na Mbeya Mjini ndiyo usiseme.
 
Ndiyo mana sisi tukichukua nchi polisi yote tunaifuta tunaweka makamanda wetu basi
 
Kumbe hoja huna. Shwaini
Sawa BUMUNDA
Kumbe hoja huna. Shwaini
Sawa BUMUNDA, Kumbe naongea na sehemu ya kutupia taka zikiwemo taka za mfano wa KAMASI toka fimbo ya Binadamu iliyo kwenye suruali πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€ jina tu linaonesha huna akili Jina Dustbin πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ˜€
 
Nyie chadema kwenye uchaguzi ni wagen waalikwa nimuhm muwepo na mnakaribishwaa mtakula kunywa ila kulala kilamtu kwake hamruhusiwi kulala mtaenda kulala makwenuu
 
Wala usijichekeshe..., mimi sicheki kwenye ishu serious. Chadema hiki kigezo mlichoweka kwa watakaochukua fomu wawe na kiwango cha elimu kidato cha sita mmejiharibia na mtapoteza wanachama wengi sana. ACT itawapiga bao mapema sana
 
Wala usijichekeshe..., mimi sicheki kwenye ishu serious. Chadema hiki kigezo mlichoweka kwa watakaochukua fomu wawe na kiwango cha elimu kidato cha sita mmejiharibia na mtapoteza wanachama wengi sana. ACT itawapiga bao mapema sana
Hizo ni emoji za dharau na kebehi huelewi labda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…