Mbona Chadema walishakuwepo Kawe zaidi ya miaka 10 na hakuna kilichofanyika.Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Kwani CCM hamtaki wagombea wazuri?Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Sahihi kajiharibiaKawe hakuna anayemtaka Mdee, hata 2015 Watu walimuheshimu mzee Lowassa tu
Maridhiano mkuu, au unataka tuchukue vyote kama 2020? Hata Heche kule Tarime, "tutampa" jimbo, pamoja na Lemma Arusha, na Mbowe Hai, Msigwa Iringa, kwa sugu jimbo litapigwa pasu, huoni walivyopoa? Kelele zikiwa nyingi mtamchanganya mpishi chakula kizidi chumvi.Kwani CCM hamtaki wagombea wazuri?
Haswaaaaa!Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Basi sawaMaridhiano mkuu, au unataka tuchukue vyote kama 2020? Hata Heche kule Tarime, "tutampa" jimbo, pamoja na Lemma Arusha, na Mbowe Hai, Msigwa Iringa, kwa sugu jimbo litapigwa pasu, huoni walivyopoa? Kelele zikiwa nyingi mtamchanganya mpishi chakula kizidi chumvi.
Lissu tutamuacha azurure akitafuta urais, na kwa kuwa anajifanya mwamba, atapigwa za chembe kwa kutohudhuria mara kwa mara kampeni zake, na pia kutotafuta fedha za kampeni yake, na kumminya katika publicity. Mawakala wake hawatapewa fedha, njaa iwagonge, na majumuisho ya kura yawe usiku mnene, njaa imeshawapiga. Mwisho wa mwezi wenzake wanavuta mshahara wa ubunge, yeye atakuwa anahaha kuitisha mikutano na waandishi wa habari.
Baada ya uchaguzi, tunamfrustrate kwa kuwa anajifanya kuutaka uenyekiti,anajua chama kimetoka wapi hiki?
Kakatwe...Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Chadema haijawahi tegemea individuals, unadhani Bila Mbowe, huyo Mdee angefahamika? Kawe akisimama yeyote kwa push ya CHADEMA atakua maarufu na atabeba jimbo. Mfano Upendo Peneza akipelekwa kawe anashinda asbuhi kweupe.Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Mpeleke Peneza, atapigwa kama ngoma, hajajijenga kisiasa, kisiasa ana survive kwa kulishwa nafasi. Kwa miaka michache iliyopita kafanya nini?Chadema haijawahi tegemea individuals, unadhani Bila Mbowe, huyo Mdee angefahamika? Kawe akisimama yeyote kwa push ya CHADEMA atakua maarufu na atabeba jimbo. Mfano Upendo Peneza akipelekwa kawe anashinda asbuhi kweupe.
Tuliwahi kuishinda Dar nzima tukiwa na wabunge, madiwani, na mameya wa kumwaga ambao kabla ya 2015 hukuwahi wasikia, the same will happen in 2025.
Mpeleke Peneza, atapigwa kama ngoma, hajajijenga kisiasa, kisiasa ana survive kwa kulishwa nafasi. Kwa miaka michache iliyopita kafanya nini?
Anyway, Mnyika anapenda kupumzika kivulini
hapo umenena. Mdee na 19 warudi CDM busara na cost benefit analysis itumike.Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.