Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Hilo halina ubishi. Wanaobisha wabishe ila ukweli ndio huo. Siyo hayo pekee bali hata Karatu.Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.
Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.