CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025, nitapendekeza Byakanwa avuliwe Ubalozi, hana sifa hiyo

CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025, nitapendekeza Byakanwa avuliwe Ubalozi, hana sifa hiyo

Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani Balozi ndio Taswira ya Nchi yetu kule Ugenini.

Mtu kama Gellasius Byakanwa, mtu mwenye roho mbaya na msiginaji mkubwa wa Katiba ya nchi hapaswi kuwa mwakilishi wa Tanzania popote, Uchafu alioutenda mtu huyu wakati wa awamu ya 5 hakuna aliyeusahau, huyu kuwa Taswira ya Tanzania Ugenini ni Aibu kwa nchi yetu, hapa Mamlaka ya Uteuzi imeteleza au imewadharau wananchi wa Tanzania kutokana na Kiburi cha madaraka.

Wakati wa uteuzi kama huu wa Humphrey Polepole niliweka andiko lenye kila ushahidi kwamba mtu yule hakupaswa kuwa balozi, na leo narudia tena kwa huyu Byakanwa, uteuzi huu unadhalilisha nchi.

Serikali iache kuwadharau raia wake kwa kuwateulia watu wasio na maadili yoyote, kwa vile raia hawana la kuwafanya, ikumbuke kwamba yupo Mungu ambaye hajawahi kukubali Ujinga.
Hii ni 2023, sioni dalili ya Chadema kuongoza nchi 2025, mikutano wanayofanya hivi sasa sioni wakiiuliza CCM maswali magumu, wanaongea mambo ambayo tayari serikali ya CCM inayafanyia kazi.
 
Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani Balozi ndio Taswira ya Nchi yetu kule Ugenini.

Mtu kama Gellasius Byakanwa, mtu mwenye roho mbaya na msiginaji mkubwa wa Katiba ya nchi hapaswi kuwa mwakilishi wa Tanzania popote, Uchafu alioutenda mtu huyu wakati wa awamu ya 5 hakuna aliyeusahau, huyu kuwa Taswira ya Tanzania Ugenini ni Aibu kwa nchi yetu, hapa Mamlaka ya Uteuzi imeteleza au imewadharau wananchi wa Tanzania kutokana na Kiburi cha madaraka.

Wakati wa uteuzi kama huu wa Humphrey Polepole niliweka andiko lenye kila ushahidi kwamba mtu yule hakupaswa kuwa balozi, na leo narudia tena kwa huyu Byakanwa, uteuzi huu unadhalilisha nchi.

Serikali iache kuwadharau raia wake kwa kuwateulia watu wasio na maadili yoyote, kwa vile raia hawana la kuwafanya, ikumbuke kwamba yupo Mungu ambaye hajawahi kukubali Ujinga.
Yaaani chama chenu kishike Dola kweli?
 
Sio kwamba mtu akiwa mbaya sehemu A ndio hafai kabisa. Hata wewe usishangae wazazi wako wakasema ni heri wasingekuzaa
 
Mtu kama Gellasius Byakanwa, mtu mwenye roho mbaya
"Kuwingwa" kwa awamu ya tano ufanyike kwa Usawa.

Raisi Mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema....

"Dokta Magufuli, ameondoka. Ametuachia weye."

"Ametuachia wewe ambaye ndiye uliekuwa msaidizi wake wa karibu sana, kwahivyo, alichokusudia Dkt, Hayati ndicho ulichokikusudia wewe"
Akimaanisha Raisi SSH ni sehemu ya mipango yake.
Kwamba mipango ya Serikali ya Hayati na Makamu wake ilitekelezwa na wote. Sasa kama kuna uhitaji wa kuwabeza na kuwazodoa wale waliokuwamo kwenye Serikali ile, tusifanye ubaguzi.

CHADEMA ndipo wanapokosea, kuyaajiri wasemaji wao waliokuwa na fikra na mawazo ya kimrengo. Kana mrengo wa Kulia wa Kibeberu ambao wanachojua Ni matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya Waafrika weusi.
 
Wakati wa uteuzi kama huu niliweka andiko lenye kila ushahidi na leo narudia tena kwa huyu
Wakati sisi akina Tomaso tukiusubiria huo ushahidi, nakiri kufurahishwa na the positivism in you kuwa

CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025 !.​

It's always good to be positive on anything, kwasababu sometimes, it's the powers of positivity and positivism that can make possible the impossible, ila kuwa na too great expectations for something will happen while you just sit and do nothing kwa kumtegemea to Mungu atatenda!, that is day dreaming, ila pia hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuota ndoto za Alinacha, unless kwake siasa ni a game of chance kwa madaraka yanatwaliwa kwa ku beti, kolokolo au sadakalawe!.
Wish you all the best, keep on dreaming!.
Ile 2015 niliuliza, Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

2017 nikauliza Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Tukio la shambulio la Lissu likatuonyesha Chadema fulani tusio ijua, nikauliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
P
 
Ilani yenu 2025

Iwe ,katiba katiba katiba

Kama mtashiriki uchaguzi Kwa katiba hii ya mchongo
 
Wakati sisi akina Tomaso tukiusubiria huo ushahidi, nakiri kufurahishwa na the positivism in you kuwa

CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025 !.​

It's always to be positive on anything, kwasababu sometimes, it's the powers of positivity and positivism that can make possible the impossible, ila kuwa na too great expectations for something will happen while you just sit and do nothing kwa kumtegemea to Mungu atatenda!, that is day dreaming, ila pia hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuota ndoto za Alinacha, unless kwake siasa ni a game of chance kwa madaraka yanatwaliwa kwa ku beti, kolokolo au sadakalawe!.
Wish you all the best, keep on dreaming!.
Ile 2015 niliuliza, Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

2017 nikauliza Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Tukio la shambulio la Lissu likatuonyesha Chadema fulani tusio ijua, nikauliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
P
JamiiForums195514995_540x540.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom