Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu.
CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali tunazosema ni za binafsi. Hili litaepusha hizi surprise elements na shutuma kwa viongozi.
Lakini pia viongozi wa vyama vikubwa muda wowote wanaweza kushika madaraka ya nchi. Kama sasa hivi unaonea haya mali zako kuzitaja ukiwa kiongozi wa kitaifa ndio utaanza kujifunza ???