Uchaguzi 2020 CHADEMA ili iwe na nguvu kwenye kampeni imsimashe Mbowe

Mh, Mbowe A.k.a mwamba nadhani hapo chadema sioni mtu mwenye sifa za mapambano yakuinyoosha ccm tofauti na Mbowe .

Mbowe For now Mbowe for future.

Jamani sisi ambao tuko addicted na siasa tunamtaka Mbowe ili kumnyoosha Babu chattle.

Moderator msiunganishe hii thread.

Kiukweli nimekosa Imani na Retired anyesambaza habari za kuteua wagombea ambao wamekosa ushawishi kama Lissu na Membe , Lissu katoka Nccr Membe ccm , tunamtaka mpinzani halisi.
Watu hawachagui mtu wanachagua sera hata hivyo nionavyo lissu ni tishio kwa kauli hizi
 
Membe anakuja dekini tena
tapatalk_1591197591621.jpeg
 
Mazingira ya siasa za Tz, yamelazimishwa kuwa magumu sana, na mtu mmoja tu, na usitegemee kwenye Uchaguzi kutakuwa na tofauti, yoyote, upinzani cha kufanya ni kumuunga mkono mgombea mmoja tu, tena ikiwezekana awe LISU, ili kumtia mchecheto tu jamaa, na watu wengi watafuatilia sana, uchaguzi huo. Hata akishinda lakini kwa 60%atakuwa amepata somo kumbe haya mapambio kuwa nakubarika, sana, sio kweli!! Uwanja wangu, nec yangu, ma ded, wangu, bado nimepata asilimia hizi? Je uwanja ungekuwa neutral? Upinzani wasiangalie kushinda bali mtu atakaye tia pressure kwa ccm tu, naye kwa sasa ni LISU.
 
Mh, Mbowe A.k.a mwamba nadhani hapo chadema sioni mtu mwenye sifa za mapambano yakuinyoosha ccm tofauti na Mbowe .

Mbowe For now Mbowe for future.

Jamani sisi ambao tuko addicted na siasa tunamtaka Mbowe ili kumnyoosha Babu chattle.

Moderator msiunganishe hii thread.

Kiukweli nimekosa Imani na Retired anyesambaza habari za kuteua wagombea ambao wamekosa ushawishi kama Lissu na Membe , Lissu katoka Nccr Membe ccm , tunamtaka mpinzani halisi.
Kwa hofu hii Lumumba mnayoionesha dhidi ya TUNDU ANTIPAS LISSU hadi kuja na vi thread vya eti Membe mara Mbowe ni dhahiri kuwa mwaka huu CCM mna hali mbaya na mpendwa msipende Juandaeni kukabidhi ikulu na nchi kwa TUNDU ANTIPASS LISSU. Msiyempenda ndo huyo amekuja😃
 
Mazingira ya siasa za Tz, yamelazimishwa kuwa magumu sana, na mtu mmoja tu, na usitegemee kwenye Uchaguzi kutakuwa na tofauti, yoyote, upinzani cha kufanya ni kumuunga mkono mgombea mmoja tu, tena ikiwezekana awe LISU, ili kumtia mchecheto tu jamaa, na watu wengi watafuatilia sana, uchaguzi huo. Hata akishinda lakini kwa 60%atakuwa amepata somo kumbe haya mapambio kuwa nakubarika, sana, sio kweli!! Uwanja wangu, nec yangu, ma ded, wangu, bado nimepata asilimia hizi? Je uwanja ungekuwa neutral? Upinzani wasiangalie kushinda bali mtu atakaye tia pressure kwa ccm tu, naye kwa sasa ni LISU.
Take it from me. Nguvu ya umma inaenda kumweka madarakani TUNDU ANTIPASS LISSU October mwaka huu.

vyombo ya dola vyenyewe vitausoma mchezo na kumwambia mzee tumeshindwa
 
Ingawa Wananchi wakiamua hata hiyo 60% jamaa hasthili,ametutesa/anatutesa mno Watanzania.Huyo mtu yupo tayari kufanya lolote ila kiboko yake ni nguvu ya umma kupitia kwa Mzalendo Number One Tanzania kwa sasa Mh.Tundu Lissu.
CDM msifanye makosa,ACT Wazalendo msifanye makosa.Tuunganisheni,tutalinda kura hadi matokeo halali yatangazwe.
Tupo tayari kushindwa mechi kihalali kama tutafungwa magoli halali.Vinginevyo No Hate No Fear.
 
Take it from me. Nguvu ya umma inaenda kumweka madarakani TUNDU ANTIPASS LISSU October mwaka huu.

vyombo ya dola vyenyewe vitausoma mchezo na kumwambia mzee tumeshindwa
Ndio maana nikasema, licha ya figisu figisu, nyingi zilizopo twende na TUNDU LISSU, hakuna mwingine wa kuleta ushindani,
 
Tulia means CDM; chama cha kidigitali kinaenda ba wakati...

Hiki chama si kama kile mtaa wa saba kinachofuta kura za maoni kisa dili walilofanya...

Tulia, chama kipo katika mikono salama!!
 
Kiukweli nimekosa Imani na @Retired anyesambaza habari za kuteua wagombea ambao wamekosa ushawishi kama Lissu na Membe , Lissu katoka Nccr Membe ccm , tunamtaka mpinzani halisi.
Sijamtaja Membe hata siku moja. Mimi nasema Lisu kwa wasomi atamwangusha Magu, lkn "mashenzini" hajulikani na huko kuna kura nyingi! Akina "Lowasa" siwataki tena! Membe CCM ni damu damu, kesho wanaombughudhi ndani ya CCM "wakifa" anarudi siku hiyo hiyo hata kabla ya mazishi!
 
Back
Top Bottom