Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni.
Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January Tarime.
Tokea 25 Jan hadi Feb 3 kukawa kumepiga kimyaaa!
Chawa walikuwa wameshategemea bandika bandua. Kulikoni? Chokochoko zikaanza:
"Hamkani Chadema hali si shwari. Itakuwa Lissu na Mbowe hawaelewani. Itakuwa Lissu anataka uenyekiti. Itakuwa kuna mtu kalamba asali. Itakuwa hawana hela. Haiwezekani, nk."
Hapo sasa ikawa si chawa huyu wala chawa yule, alimradi kila chawa alikuwa na lake:
RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta
Mbowe vs Lissu ni mtihani kwa viongozi na wana CHADEMA
Wasijue Mh. Mbowe alikuwa kesha sema yahitajika ule "ushawishi pendwa wa kibaharia" kufanikisha jambo lolote na hawa ndugu. Kumbe hawakuwa wamemwelewa!
Yaliyowakuta jana February 4 yamepelekea msiba mzito maskani:
"Wamelambwa chenga ya mwili, mambuzi mazima mazima yakajaa!"