CHADEMA ilivyowachuuza Chawa wakauvaa Mkenge

CHADEMA ilivyowachuuza Chawa wakauvaa Mkenge

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni.

Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January Tarime.

Tokea 25 Jan hadi Feb 3 kukawa kumepiga kimyaaa!

Chawa walikuwa wameshategemea bandika bandua. Kulikoni? Chokochoko zikaanza:

"Hamkani Chadema hali si shwari. Itakuwa Lissu na Mbowe hawaelewani. Itakuwa Lissu anataka uenyekiti. Itakuwa kuna mtu kalamba asali. Itakuwa hawana hela. Haiwezekani, nk."

Hapo sasa ikawa si chawa huyu wala chawa yule, alimradi kila chawa alikuwa na lake:

RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Mbowe vs Lissu ni mtihani kwa viongozi na wana CHADEMA

Wasijue Mh. Mbowe alikuwa kesha sema yahitajika ule "ushawishi pendwa wa kibaharia" kufanikisha jambo lolote na hawa ndugu. Kumbe hawakuwa wamemwelewa!

Yaliyowakuta jana February 4 yamepelekea msiba mzito maskani:

Screenshot_20230204-181635~2.jpg

"Wamelambwa chenga ya mwili, mambuzi mazima mazima yakajaa!"
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma. Je, kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi? Maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.

Kwanini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwanini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwanini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

NB: Watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Jamaa wamerejea mezani kuelezana ukweli. Kwamba mtego wa kumshambulia JPM umewapoteza.

Take my words wanakuja kivingine kabisa ha ha haaa

Ujinga mzigo:

Mwendazake aliamini kuwa Kila aliyekuwa akimkosoa au kumpinga alikuwa msaliti.

Lissu alikuwa msaliti kwa maana hiyo finyu ya jiwe, na wengi akiwamo Lissu tulilijua hilo.

Jiwe alikuwa mwuaji baradhuli asiyekuwa na chembe ya utu!
 
Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni.

Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January Tarime.

Tokea 25 Jan hadi Feb 3 kukawa kumepiga kimyaaa!

Chawa walikuwa wameshategemea bandika bandua. Kulikoni? Chokochoko zikaanza:

"Hamkani Chadema hali si shwari. Itakuwa Lissu na Mbowe hawaelewani. Itakuwa Lissu anataka uenyekiti. Itakuwa kuna mtu kalamba asali. Itakuwa hawana hela. Haiwezekani, nk."

Hapo sasa ikawa si johnthebaptist wala Countrywide, alimradi kila chawa alikuwa na lake:

RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Mbowe vs Lissu ni mtihani kwa viongozi na wana CHADEMA

Wasijue Mh. Mbowe alikuwa kesha sema yahitajika ule "ushawishi pendwa wa kibaharia" kufanikisha jambo lolote na hawa ndugu. Kumbe hawakuwa wamemwelewa!

Yaliyowakuta jana February 4 yamepelekea msiba mzito maskani:

View attachment 2506236

"Wamelambwa chenga ya mwili, mambuzi mazima mazima yakajaa!"
Another Rubbish from "UFIPA"
JamiiForums-355495924_remastered.jpg
 
Huwez kumshambulia JPM Kwa sasa halafu udhan utaungwa mkono

Una maana hata wale, jamaa na marafiki wa waliopotezwa, kuumizwa, kudhulumiwa, kuhujumiwa au kuuwawa kipindi chake?

Vipi wenye kufahamu kuwa huyu ndugu alikuwa mwizi na moporaji kama wale wengine tu?

FnzAtagX0AIXEAW.jpeg

Hivi mnatuona je ndugu?
 
Ujinga mzigo:

Mwendazake aliamini kuwa Kila aliyekuwa akimkosoa au kumpinga alikuwa msaliti.

Lissu alikuwa msaliti kwa maana hiyo finyu ya jiwe, na wengi akiwamo Lissu tulilijua hilo.

Jiwe alikuwa mwuaji baradhuli asiyekuwa na chembe ya utu!
Mwenyewe utakua ni wale wabinafsi. Uongozi wa magufuli umefanikisha mengi kwa maendeleo ya watanzania. Ila kwa kua wewe yako binafsi uliangukia pua ndio unathubutu kumwita magufuli baradhuli. Baradhuli gani aliyependwa kiasi kile na kuliliwa alipoaga dunia na nchi nzima isipokua watu kama wewe. Utakua mwenyewe ndio baradhuli. Bila shaka yako binafsi yalikua sio ya kisheria. Ni fisadi au mpinga maendeleo ya wengi. Mungu bila shaka atashughulika na wewe.
 
Mwenyewe utakua ni wale wabinafsi. Uongozi wa magufuli umefanikisha mengi kwa maendeleo ya watanzania. Ila kwa kua wewe yako binafsi uliangukia pua ndio unathubutu kumwita magufuli baradhuli. Baradhuli gani aliyependwa kiasi kile na kuliliwa alipoaga dunia na nchi nzima isipokua watu kama wewe. Utakua mwenyewe ndio baradhuli. Bila shaka yako binafsi yalikua sio ya kisheria. Ukikua fisadi au mpinga maendeleo ya wengi. Mungu bila shaka atashughulika na wewe.

Kwani wewe ulihusika kwenye kupotea kwa kina Ben, Azory, Lijenje au waliopotea kipindi kile? Vipi yaliyowakuta kina Mawazo au kina Lissu? Kulikoni watu kwenye viroba? Wangapi walidhulumiwa, kuhujumiwa nk?

Kwa nini mnadhani hao hawakuwa watanzania au hata hawakuwa na ndugu, jamaa au marafiki?

Kwamba sisi hao tuanzie wapi kumshangilia huyo mja?

Labda utupe wewe mwongozo wa wapi pa kuanzia ndugu.

Angalizo: Malipo ni hapa hapa duniani na malipo tayari yanaonekana.
 
Huwez kumshambulia JPM Kwa sasa halafu udhan utaungw
FB_IMG_16755921794738910.jpg
a mkono
Mlidai kwamba Chadema imetukana watu wa kanda ya ziwa kw akuwaita Sukuma gang??
Sukuma gang sio kanda wala kabila.

Sukuma gang ni mtu yeyote mwenye hulka na itikadi za kifashisiti.

Watu wa Mwanza wanaendelea kutoa somo.
 
Shabaya ni mmoja wao lakini si mtu wa Kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom