CHADEMA imebanwa mbavu, sasa wanatafuta huruma kwa wananchi

CHADEMA imebanwa mbavu, sasa wanatafuta huruma kwa wananchi

Ccm kutiliwa shaka na CAG ni suala la kawaida. Kama jumuia ya wazazi waliingia mkataba na mpangaji kwenye majengo yao alafu nyaraka hazipo na walimfidia mil 60 lazima CAG aulize. Sidhani kama ni ishu kubwa kama bil 8 kuliwa na mmiliki wa Chadema.
Una maana CAG kusema CHADEMA wana hati safi na CCM tuna hati yenye mashaka bora sisi kuliko wao?
CAG huyu alitoa ripoti kua Serikali inayo ongozwa na CCM imetumia shilingi 1.5trion bila kuonyesha zimetumikaje!
 
Na wewe bado unashabikia upuuzi ambao ulitolewa majibu bungeni kuwa hakuna 1.5 ilipotea? Na unajuaje kuwa Ccm hawatajibu hiyo querry ya CAG? Maana PAC bado hawajatoa majibu yao. Hii inaonyesha mnafikiria kibeberubeberu.
 
Ni kweli wamebanwa mbavu na tume ya taifa ya uchaguzi, vyombo vya dola pia.bila tume ccm hali mbaya
 
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.

Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?

Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?

Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.

Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.

Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa

Umejiunga juzi kwa kasi, naona unapambana ile mbaya.
 
Na wewe bado unashabikia upuuzi ambao ulitolewa majibu bungeni kuwa hakuna 1.5 ilipotea? Na unajuaje kuwa Ccm hawatajibu hiyo querry ya CAG? Maana PAC bado hawajatoa majibu yao. Hii inaonyesha mnafikiria kibeberubeberu.

Hilo bunge kibogoyo?
 
Pole sana Comrade ..hivi unataka kusema kua CCM ndiyo tupo safi sana?
Yaani CAG ndiye muongo ila CCM tupo sahihi kwakua tunajua ukaguzi kuliko CAG.
Naipenda sana Tanzania.. 1.5 trion iliyeyuka kabisa.
 
Una maana CAG kusema CHADEMA wana hati safi na CCM tuna hati yenye mashaka bora sisi kuliko wao?
CAG huyu alitoa ripoti kua Serikali inayo ongozwa na CCM imetumia shilingi 1.5trion bila kuonyesha zimetumikaje!
Kwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?
 
Kwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?
PAC awajawai kusema uongo kama wewe unavyotaka..
Pili CAG ni mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na PAC ni kamati ya Bunge kumbuka ambayo ina wabunge wetu wengi ...CAG sio mwanasiasa
 
Back
Top Bottom