Najua inauma. Maana kila mnaloibua linakwama.
Kesi za kuwabambikia ndizo zainazowashindisha mahakamaniMliruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yenu. Lakini wabunge wenu wanawaza harakati muda wote. Wakawa wanashinda mahakani tu.
Wewe ndiyo una mawazo finyu sana tena mawazo ya kuvuta BangiMawazo finyu changanya na stress.
Chama dume Afrika Mashariki na kati ni CHADEMAkama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.
Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.
Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Mh hata wewe? Cdm ni mufuView attachment 1467489
PAC sio taasi iliyopo kikatiba ..Ila CAG ni taasisi iliyopo kikatiba kabisa na sio ya kisiasa kama hizi kamati za Bunge .Una hakika?
MADA ZA HUKU ZINACHOSHA YANI OVER 80% NI CHADEMA, CHADEMA SASA KAMA LICHAMA LIMEKUFA LA NINI KUENDELEA KULIZUNGUMZIA INABOA SANA,kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.
Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Ile ukweli tuuh CHADEMA mmefulia wongo mbayaNyie ndo mnaomba huruma ya jeshi la polisi na NEC,hata Kikwete analijua hilo
Naona ingizo au usajili mpya wa polepole hapa jf unavyochachafya jf na cdm! Umejiunga may 20 na sidhani Kama Kuna unalolijua juu ya cdm na au siasa za bongo!kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.
Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Buku saba ndio nini? Na hayo ulioweka ndio nini?Buku saba bila kuitaja Chadema hamlali,Sasa hivi naona malipo yanaenda vizuri.Wenzenu mambo msgumuView attachment 1467886
Ni bora saccos kuliko majambazi yanayopora hela za wananchi kila siku,mkiambiwa majizi mnamfukuza mtu kazi kama mlivyofanya kwa CAGMmmmh unazungumzia chadema saccos au ipi Jomba. .maana kama chama kilishapoteza mwelekeo..imebaki saccos yakununua na kukopesha matrekta kule Ifakara. .na kulimia
Bora anatafuta huruma ya wananchi kuliko anaelazimisha kupendwa na wananchi akiambiwa ukweli anatumia dola kufunga midomo ya watuTundulisu anatumia ukilema kuomba nchi CHADEMA nao walivyo wajinga. Et wameona ndio Sera basda ya kukosa Sera zenyewe
Kukosa uelewa ni tatizo kubwa. Ccm inatumia dola kulinda usalama wa raia na mali zao. Kulinda rasilimali za nchi. Kuzuia rushwa na ubadhirifu na kulinda mipaka ya nchi. Sio kupora uchaguzi. Au kukandamiza wapinzani.Chadema imebanwa mbavu ?dola ya Nini?View attachment 1467940
Ufaransa wanaandamana kwa ajili ya Traore aliyeuliwa na polisi 2016 na sisi itafika kwa ajili ya Akwilinakama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.