Una maana CAG kusema CHADEMA wana hati safi na CCM tuna hati yenye mashaka bora sisi kuliko wao?Ccm kutiliwa shaka na CAG ni suala la kawaida. Kama jumuia ya wazazi waliingia mkataba na mpangaji kwenye majengo yao alafu nyaraka hazipo na walimfidia mil 60 lazima CAG aulize. Sidhani kama ni ishu kubwa kama bil 8 kuliwa na mmiliki wa Chadema.
Na wewe bado unashabikia upuuzi ambao ulitolewa majibu bungeni kuwa hakuna 1.5 ilipotea? Na unajuaje kuwa Ccm hawatajibu hiyo querry ya CAG? Maana PAC bado hawajatoa majibu yao. Hii inaonyesha mnafikiria kibeberubeberu.Una maana CAG kusema CHADEMA wana hati safi na CCM tuna hati yenye mashaka bora sisi kuliko wao?
CAG huyu alitoa ripoti kua Serikali inayo ongozwa na CCM imetumia shilingi 1.5trion bila kuonyesha zimetumikaje!
kama kuna chama ambacho kina hali mbaya kisiasa hivi sasa ni CHADEMA . Kama ni mgonjwa atakuwa amelala kwenye machela na anapelekwa Icu.
Hivi kipindi kama hiki ni cha kutafuta huruma kwa wananchi kwa kutumia picha?
Hata kama mwanachama wenu alipigwa na wana CCM tena mwaka 2014 kwa nini muanze kutafuta huruma kwa wananchi?
Hakuna mtanzania anayeweza kuwahurumia. Moja mmeshachafuka mbeke ya jamii. Kitendo cha kupata kashfa ya kutumia vibaya ruzuku na pesa za wabunge kimesha wachafua.
Mbali na hilo kama chama makini ilitakiwa muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi. Hatusikii hata habari ya ilani ya uchaguzi.
Maswaiba wenu Act wanajitutumua japo hawatatoboa. Mnaweka picha za mtu wenu akipigwa inasaidia nini? Watu hawawataki. Jaribuni kuwabembeleza sio kutaka kuhurumiwa
Na wewe bado unashabikia upuuzi ambao ulitolewa majibu bungeni kuwa hakuna 1.5 ilipotea? Na unajuaje kuwa Ccm hawatajibu hiyo querry ya CAG? Maana PAC bado hawajatoa majibu yao. Hii inaonyesha mnafikiria kibeberubeberu.
Pole sana Comrade ..hivi unataka kusema kua CCM ndiyo tupo safi sana?Na wewe bado unashabikia upuuzi ambao ulitolewa majibu bungeni kuwa hakuna 1.5 ilipotea? Na unajuaje kuwa Ccm hawatajibu hiyo querry ya CAG? Maana PAC bado hawajatoa majibu yao. Hii inaonyesha mnafikiria kibeberubeberu.
Kwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?Una maana CAG kusema CHADEMA wana hati safi na CCM tuna hati yenye mashaka bora sisi kuliko wao?
CAG huyu alitoa ripoti kua Serikali inayo ongozwa na CCM imetumia shilingi 1.5trion bila kuonyesha zimetumikaje!
PAC hakuna siku walisema hivyo..1.5trion ziliyeyukaKwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?
Ili iweje? Na kwa nini unawapangia watu wanajiunga cha kusema?
Kwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?
Bunge la kumtukuza jiwe uongo unaongelewa mchana kweupe?
Mh hata wewe? Cdm ni mufuView attachment Sakata_la_Trilioni_15_latolewa_majibu_Bungeni.3gpPAC hakuna siku walisema hivyo..1.5trion ziliyeyuka
PAC awajawai kusema uongo kama wewe unavyotaka..Kwa hiyo PAC ilisema uongo Bungeni?
Kwa kutumia kifungu gani cha sheria/katiba ya JMTZ?Mliruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yenu. Lakini wabunge wenu wanawaza harakati muda wote. Wakawa wanashinda mahakani tu.
Mh hata wewe? Cdm ni mufuView attachment 1467489
Hakuna mwenye mamlaka ya kuvunja Katiba tena aliyoapa kuilinda. Huo unaoishangilia ndio udiktetaWe hujui kuwa tamko la rais ni sheria?