CHADEMA imebanwa mbavu, sasa wanatafuta huruma kwa wananchi

PAC awajawai kusema uongo kama wewe unavyotaka..
Pili CAG ni mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na PAC ni kamati ya Bunge kumbuka ambayo ina wabunge wetu wengi ...CAG sio mwanasiasa
Una hakika?
 
Mliruhusiwa kufanya siasa kwenye majimbo yenu. Lakini wabunge wenu wanawaza harakati muda wote. Wakawa wanashinda mahakani tu.
Kesi za kuwabambikia ndizo zainazowashindisha mahakamani
 
Chama dume Afrika Mashariki na kati ni CHADEMA
Chama cha wananchi wanaojielewa.
 
 
PAC sio taasi iliyopo kikatiba ..Ila CAG ni taasisi iliyopo kikatiba kabisa na sio ya kisiasa kama hizi kamati za Bunge .
Mh kwa hiyo hizi kamati za bunge hazipo kikatiba? Na Siasa ni nini?
 
MADA ZA HUKU ZINACHOSHA YANI OVER 80% NI CHADEMA, CHADEMA SASA KAMA LICHAMA LIMEKUFA LA NINI KUENDELEA KULIZUNGUMZIA INABOA SANA,
HATA MAANDIKO YANASEMA KITU KIKIFA KUMBUKUMBU LAKE HALIPO TENA. SASA HAWA JAMAA WAMEKUFA KAMA INAVYOSEMWA SASA KWA NINI KILA KUKICHA WANAZUNGUMZIWA TU.

Tuzungumze Maendeleo yetu
 
Naona ingizo au usajili mpya wa polepole hapa jf unavyochachafya jf na cdm! Umejiunga may 20 na sidhani Kama Kuna unalolijua juu ya cdm na au siasa za bongo!
Badala ya kujenga hoja za kuwavutia waliokata tamaa na ccm unakazana kumuekekeza cdm Cha kufanya na Cha kuacha! Umechelewa mno kutambua kuwa cdm ipo kwenye mioyo ya watanzania wengi kwa Sasa na hutoweza kuifuta ndani ya mioyo yao!
Mnakazana kuandika humu na wengine wanajipanga kuiba kura na wengine wanajiandalia kanuni za uchaguzi muflisi ili tu ccm ishinde! Kama kweli mnapendwa, nguvu zote hizo za kujipanga kuiba za Nini?
 
Buku saba bila kuitaja Chadema hamlali,Sasa hivi naona malipo yanaenda vizuri.Wenzenu mambo msgumu
 
Mmmmh unazungumzia chadema saccos au ipi Jomba. .maana kama chama kilishapoteza mwelekeo..imebaki saccos yakununua na kukopesha matrekta kule Ifakara. .na kulimia
Ni bora saccos kuliko majambazi yanayopora hela za wananchi kila siku,mkiambiwa majizi mnamfukuza mtu kazi kama mlivyofanya kwa CAG
 
Tundulisu anatumia ukilema kuomba nchi CHADEMA nao walivyo wajinga. Et wameona ndio Sera basda ya kukosa Sera zenyewe
Bora anatafuta huruma ya wananchi kuliko anaelazimisha kupendwa na wananchi akiambiwa ukweli anatumia dola kufunga midomo ya watu
 
Ufaransa wanaandamana kwa ajili ya Traore aliyeuliwa na polisi 2016 na sisi itafika kwa ajili ya Akwilina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…