CHADEMA imeipasua CCM kati kwa kati

Umefuatilia nilichoandika?
 
CDM haijapasuka kale kagenge ka watu watatu kameshadhibitiwa tayari bila athali kubwa. Tatizo lao ni NJAA pamoja na uchu wa madaraka wa kiasi cha kutaka kuuangusha uongozi halali wa chama - Mapinduzi yameshashindikana.
 
Kuna mahali nimeandika CDM (CHADEMA?) imepasuka?

Sijui watu wa CCM mkojeπŸ™„
 
Sawa Mrs Mbowe
 
Chadema ina mshindo mku
 
Wewe uimara wa CHADEMA unaupimaje? Mwalimu alishakataa mambo ya siri siri kwenye mustakabali wa nchi.
Mwalimu huyo huyo aliyekataa usiri Ndiyo huyo huyo aliyemshughulikia Jumbe na wakosoaji wengine; usiamini sana maneno ya wenye madaraka.

Kwa fujo zinazoendelea sasa ndani ya CDM ni kweli kuwa CCM imefanikiwa sana.
 
Wacha stori za kufikirika wewe πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/RashdaZunde/status/1880525939668549774?t=4t4hfpz_QtFRKXuSEVJxYQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…