Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Alikuwa Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema
Ndiye aliyemtoa Mbowe gerezani kwa kumlipia faini walipomuuwa Akwillina 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema
Ndiye aliyemtoa Mbowe gerezani kwa kumlipia faini walipomuuwa Akwillina 🐼
Tupe habari za dom acha kulalamika.Mnapenda sana kujitekenya na kujichekesha wenyewe
Alimshughulikia Jumbe kwa jambo gani? Kutoa siri gani?Mwalimu huyo huyo aliyekataa usiri Ndiyo huyo huyo aliyemshughulikia Jumbe na wakosoaji wengine; usiamini sana maneno ya wenye madaraka.
Kwa fujo zinazoendelea sasa ndani ya CDM ni kweli kuwa CCM imefanikiwa sana.
Kaa kwa kutulia kwenye Tv yakoTupe habari za dom acha kulalamika.
Kwaza anagombea nani huko?
Hakuna jipya😂Kaa kwa kutulia kwenye Tv yako
Hakuna jipya😂
Ze komedi inaendelea...
Sigimbi style🤣View attachment 3205196
Huyu hapa dogo kabla hajaamua kuwa Chawa 🤣🤣🤣
Naona kimya sana licha ya nchi nzima kuhamia huko.Kaa kwa kutulia kwenye Tv yako
Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCMNaona kimya sana licha ya nchi nzima kuhamia huko.
Wasanii hadi team za mpira lakini wananchi wamesusa
Hayo si makundi machache kwenye vijiwe vya kahawa wasio na mwelekeo kwenye maisha?Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCM
Kwa asilimia ni asilimia 9.5 tu ya watanzania wote ndiyo waliokwenda na wanaofuatilia haya maigizo yenu.Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCM
Ni FutuhiiiiKwa asilimia ni asilimia 9.5 tu ya watanzania wote ndiyo waliokwenda na wanaofuatilia haya maigizo yenu.
Ze komedi inaendelea😂😂
Badala ya kuchapisha kitabu cha jinsi ya kupiga sadaka kanisani........ 🤣 🤣 🤣Chadema ndio imepasuka Msamba
Kitabu cha mchungaji Msigwa Kiko Uhuru Publisher Kwa hatua za Mwisho
" Maisha Ndani ya Chadema"
😅😅😅Badala ya kuchapisha kitabu cha jinsi ya kupiga sadaka kanisani........ 🤣 🤣 🤣
Hii ndio shida ya kushabikia chama lazima mtoa mada awe na mawazo hayo wakati kwa kauli za Lissu mwenyewe anakiri CHADEMA imepoteza muelekeo ndio maana anagombea nafasi ya mwenyekiti ili arudishe kwenye mstari alafu unakutana na mada Kama hii ya mtoa uziHuu ujinga Kila Mwaka ndio Unao uponza Upinzani.
Yaani Kujipa Matumain hewa Hata hambadiliki
Kuiondoa CCM sio Rahisi kwa Ujinga Mlio nao Mitandaon Mnahitaji Kufanya Mabadiliko ya kweli kwanza Nyie kwa Nyie.
Eti Chadema Yaigawa Kati kwa kati CCM Ujuha Mtupu
Kwa Hali hii na Upumbavu wa Vijana wa Tanzania
CCM itatawala Miaka 100 Mbele
Wa kusoma kitabu chake amewaandaa au ni hawa hawa wabongo wenzangu??Chadema ndio imepasuka Msamba
Kitabu cha mchungaji Msigwa Kiko Uhuru Publisher Kwa hatua za Mwisho
" Maisha Ndani ya Chadema"