CHADEMA imeipasua CCM kati kwa kati

Mwalimu huyo huyo aliyekataa usiri Ndiyo huyo huyo aliyemshughulikia Jumbe na wakosoaji wengine; usiamini sana maneno ya wenye madaraka.

Kwa fujo zinazoendelea sasa ndani ya CDM ni kweli kuwa CCM imefanikiwa sana.
Alimshughulikia Jumbe kwa jambo gani? Kutoa siri gani?
 
Naona kimya sana licha ya nchi nzima kuhamia huko.

Wasanii hadi team za mpira lakini wananchi wamesusa
Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCM
 
Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCM
Hayo si makundi machache kwenye vijiwe vya kahawa wasio na mwelekeo kwenye maisha?
Mtanzania anayejielewa hapotezi muda wake.
 
Unasemaje wananchi wamesusa wakati unaona wananchi wamesimamisha shughuli zao kwa ajili ya kufuatilia mkutano mkuu wa CCM
Kwa asilimia ni asilimia 9.5 tu ya watanzania wote ndiyo waliokwenda na wanaofuatilia haya maigizo yenu.

Ze komedi inaendelea😂😂
 
Hii ndio shida ya kushabikia chama lazima mtoa mada awe na mawazo hayo wakati kwa kauli za Lissu mwenyewe anakiri CHADEMA imepoteza muelekeo ndio maana anagombea nafasi ya mwenyekiti ili arudishe kwenye mstari alafu unakutana na mada Kama hii ya mtoa uzi
 
Chadema ndio imepasuka Msamba

Kitabu cha mchungaji Msigwa Kiko Uhuru Publisher Kwa hatua za Mwisho

" Maisha Ndani ya Chadema"
Wa kusoma kitabu chake amewaandaa au ni hawa hawa wabongo wenzangu??
 
Kwa hili la Mwalimu Nyerere nami nakuunga mkono ni kweli alisema nilikuwa aliyhassan mwinyi stadium Tabora (1995) , nanukuu vyama vyote nimesoma sera zao Lakini chama hichi Cha chadema akatumia neno kidogo kina sera na hiki siku Moja ningependa kiwe Chama kikuu cha upinzani . Ndipo na Mimi nikaanza kusoma mambo ya chadema . Katika gazeti la rai kulikuwa na makala zinatoka za mtu anajiita freeman aikael mbowe . Enzi hizo hata Jina Hana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…