CHADEMA imeiteka Tanganyika

Nyie kweli bado mnashabikia CCM?!
Tatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.

CCM anaokolewa na policcm tu kwa kuwatoa ndani mawakala wa upinzani ili wadumbukize makura yao feki

 
wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema taifa, wamkataa kibaraka wa mabwenye ya magharibi hadharini, kutoka kila kanda ya utawala Chadema.

huo ni uzalendo wa kijasri mno kukataa ukoloni mambo leo unaotaka kujipenyeza nchini kupitia Chadema.

Heko wajumbe wa mkutano mkuu Chadema Taifa ๐Ÿ’
 
Hongereni Chadema kwa kuonesha kwa kauli na matendo ubinadamu ni nini. Unaodaiwa ni mnyukano ndani ya chama ni dalili ya afya njema kwa chama na kwa demokrasia kwa ujumla wake.

Utofauti wa mawazo ndiyo hujenga misingi imara kwa taasisi hasa ya siasa. Kuogopa kukosoana ndani ya chama ndio chimbuko la unafiki kama tunavyoushuhudia ndani ya chama cha wanafiki, CCM.

Nina hakika kwamba pande zote zinazotofautiana kimawazo ndani ya Chadema muda si mrefu zitafikia maelewano kwa kuzingatia hoja zinazotolewa na kila upande na huo ndio uoga wa chama tawala.

Najua Chama cha wanafiki, CCM kitatumia kila njia kuvuruga demokrasia nchini lakini nina imani Chadema imekomaa na itaruka hiyo mitego ya kishetani na kuendeleza juhudi zaidi za kulikwamua taifa.
 
Na ukiangalia washusha uzi ni wafuasi wa mchongo wa chadema watupu wanaopopoana kuanzia jf mpaka X CCM wana wasolola tu mkimalizana mkiwa hoi bin taabani CCM wanachukua wanaweka waaaaa!

Na ukiangalia washusha uzi ni wafuasi wa mchongo wa chadema watupu wanaopopoana kuanzia jf mpaka X CCM wana wasolola tu mkimalizana mkiwa hoi bin taabani CCM wanachukua wanaweka waaaaa!
Usiongee vitu vya kufikirika basi ili kujifariji ongea uhalisia
 
Wewe mzee umechanganyikiwa. Unazunguka sana kumbe lengo ni kumsifu Lissu. Elewa CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ndo CHADEMA. Acha kuihusisha CCM kwenye upuuzi wenu.
 
Reactions: UCD
Mnahangaika sana binamu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
 
Nina hakika kwamba pande zote zinazotofautiana kimawazo ndani ya Chadema muda si mrefu zitafikia maelewano kwa kuzingatia hoja zinazotolewa na kila upande na huo ndio uoga wa chama tawala.

Najua Chama cha wanafiki, CCM kitatumia kila njia kuvuruga demokrasia nchini lakini nina imani Chadema imekomaa na itaruka hiyo mitego ya kishetani na kuendeleza juhudi zaidi za kulikwamua taifa.๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ”จ
 
Mnahangaika sana binamu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
sure mchungaji,

penye upotoshaji Lazima ukweli uchukue nafasi yake bila kuchelewa hata sekunde moja.

so,
inatakiwa urelax na ucalm down tu๐Ÿ’
 
Yatakuwaa ya chaawaa
 
Kama luka katika shamba la mboga mboga vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ