CHADEMA imeiteka Tanganyika

CCM ipo mojawapp maana mpaka sasa yapo mspande yasiyopungua matano
andikia uzi mahususi gentleman,
ili tuone tunafanyaje gentleman,

tumalizane kwanza na lililopo mezani kwa sasa πŸ’
 
Ccm wanategemea:-
1. Tume-mtu.
2. poliCCM.
3. TISSCC.
4. Wakurugenzi ambao pia ni makada wa ccm).

Ushindi wa chadema utapenyea wapi?
Ushindi wa CHADEMA inayo aminiwa na wananchi; ni wananchi hao ndio watafuta takataka zote ulizo zitaja hapo juu.
CHADEMA iliyo ongozwa na Mbowe kwa miaka 20, na kabla ya hapo haijawahi kukoga roho za wananchi hata siku moja; ndiyo maana haijafanikiwa katika malengo yake.
 
Ccm wanategemea:-
1. Tume-mtu.
2. poliCCM.
3. TISSCC.
4. Wakurugenzi ambao pia ni makada wa ccm).

Ushindi wa chadema utapenyea wapi?
Jambo Kubwa waliloweza Chadema ni ushawishi kwa wananchi Kiasi ambacho ccm hawawezi kufurukuta kweny sanduku huru la kupiga kura.
 
Yote hii ni mipango ya Mungu kwa ajili ya Chadema. Ashukuriwe Mungu.
 
Kuna huu utabiri uliwahi kutolewa na Sheikh maarufu sana Sheikh Yahaya . kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa ni wazi unaenda kutimia kwa asilimia 1000.. Si vema CCM ikaendelea kushindana na wakatiView attachment 3186725
Huyo mtabiri hakusema chadema wanatachukua nchi ni Upinzani so kwakua Chadomo wapo ICU so inaweza ikawa ACT wazalendo au vingene but habari chama cha wachumia tumbo wapare na wachaga kwisha
 
msiimeze wafuasi wenu kujiandikisha badae mje kusema ooh tumeibiwa kama ilivyo ada yenu
 
Mkuu Title yako haina tofauti na gazeti la Dimba.πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…