CHADEMA imeiteka Tanganyika

CHADEMA imeiteka Tanganyika

wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema taifa, wamkataa kibaraka wa mabwenye ya magharibi hadharini, kutoka kila kanda ya utawala Chadema.

huo ni uzalendo wa kijasri mno kukataa ukoloni mambo leo unaotaka kujipenyeza nchini kupitia Chadema.

Heko wajumbe wa mkutano mkuu Chadema Taifa 🐒
Mabwabwa ya ccm na makala yamegeuka kuwa madalali ya mbowe huku mamayenu kibaraka wa mabeberu akizurura Kwa warabu kuuza badari zetu🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛
 
Nina hakika kwamba pande zote zinazotofautiana kimawazo ndani ya Chadema muda si mrefu zitafikia maelewano kwa kuzingatia hoja zinazotolewa na kila upande na huo ndio uoga wa chama tawala.

Najua Chama cha wanafiki, CCM kitatumia kila njia kuvuruga demokrasia nchini lakini nina imani Chadema imekomaa na itaruka hiyo mitego ya kishetani na kuendeleza juhudi zaidi za kulikwamua taifa.💪🏿💪🏿💪🏿🔨
Ccm ni mapumbavu kama viongoz wao uchwara madalali ya bandari zetu🪛🪛🪛🪛🪛
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Wewe mzee umechanganyikiwa. Unazunguka sana kumbe lengo ni kumsifu Lissu. Elewa CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ndo CHADEMA. Acha kuihusisha CCM kwenye upuuzi wenu.
Ccm mapumbavu ndio maana bila polis hata kitongoji hampati 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!

Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.

Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.

Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.

Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!

Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wake😂😂

Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.

Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.😂🙌🏿🏃🏿🏃🏿

View attachment 3186716
Kwani sasa hivi haijagawanyika? Ni akili za kinyumbu tu ndio atajiliwaza kuwa Chagadomo haijagawanyika.
 
Gentleman,
kidemokrasia kiongozi aliechoka anapumzishwa kwa kura siku ya uchaguzi na sio mdomo na makelele ya waliochokwa na kukataliwa na wapiga kura katika hatua za mwanzo kabisaa za kutafuta uongozi 🐒
CCM mtangaza lini uchaguzi wa Mwenyekiti taifa?
 
CCM mtangaza lini uchaguzi wa Mwenyekiti taifa?
jikite kwenye hoja mahususi gentleman

na ikikupendeza andikia uzi mjadala unaotamani kuuingiza ndani ya hoja mahususi mezani,

si sawa kuanzisha mjadala mpya juu ya hoja mahususi mezani 🐒
 
Matusi na kudharauliana chadema kwa chadema kudharauliwa kwa mawakili wa mchongo kudharauliwa wanaharakati wa mchongo kudharauliwa mgombea uraisi wa mchongo 2020 ambaye ni mgombea uwenyekiti wa mchongo kifupi kuwavua nguo viongozi eti mtu anashusha uzi ndio trending inashangaza kidogo halafu mengi yaandikwayo hayana maana mtu anaeleza upuuzi mwingi kama yeye hiyo ndani ya miaka 20 hakuwa kiongozi!
KIPARA Cha Mchongo!! Kipara bila AKILI NI SAWA NA TAKO 🤣😀🤣🚴🚴
 
Watu hamuielewi siasa, Nyie subirini Lisu ashinde ndio mtajua hamjui. Kushinda hashindi lakini akishinda mtajifunza mengi wakati huu.
 
Sungura aliingia dukani akaulizia: “Karoti zipo.“ Akajibiwa: “Hapana!“ Kesho yake akaenda tena kuulizia. Akajibiwa vile vile. Siku ya tatu akarudi tena kuulizia: “Karoti zipo!?“ Muuzaji akajibu kwa hasira: “Mara ya ngapi nikuambie hatuna karoti! Ukija tena hapa na suali hilo, nakugongomelea msumari wa kichwa kwa nyundo!“ Siku iliyofuata, Sungura akaenda tena dukani akaulizia: “Nyundo zipo?“ Akajibiwa hapana. Akaulizia tena: “Misumari ipo!?“ Akajibiwa hapana. Kwa upole akaulizia: “Karoti zipo!?“

CCM isikutishe bure. Haina uwezo wa kukufanya chochote kile. Ni kama puto tu. CHADEMA iingie 2025 kwa kujiamini. Maana tayari inaongoza mtanange kwa mbali sana 💪🏿


View attachment 3186722
😆😆😆😆 Karoti zipo?
 
Labda CCM wajipange kivingine kwa kumtosa Chura kiziwi na/au 'project' yao ndani ya CHADEMA kimiujiza ifauru; vinginevyo 2025 watakuwa na hali ngumu sana.
Ccm wanategemea:-
1. Tume-mtu.
2. poliCCM.
3. TISSCCM.
4. Wakurugenzi ambao pia ni makada wa ccm).

Ushindi wa chadema utapenyea wapi?
 
Back
Top Bottom