Pre GE2025 CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wenye akili kubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono hoja ila, ili kuthibitisha kuwa CDM ni chaguo la Mungu, then Mungu aiwezeshe Chadema kuingia ikulu!. Chaguo la Mungu, ni anayeingia Ikulu.

p
Kuingia pekee hakufanyi aingiaye awe chaguo la Mungu.
Tumeshuhudia wengi wakiingia kwa njia haramu na kuja kutoka kwa aibu au vifo vibaya sana kama kina Sam Doe, Amin nk.
Madhalimu na wizi wao wa kura wana mwisho mbaya

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kama tulivyo shuhudia kwa macho na masikio yetu
 
Jamaa yuko vizuri sana

Bila hili Baraza kwenda Dodoma na maazimio yao kuibana Kamati ya Bunge ya Sheria izingatie maoni ya Baraza la Vyama itakuwa kazi bure.

Maana tayari Kamati Maalum ya Bunge ipo kiserikali ya CCM badala ya Utaifa mbele. Na isisitizwe vikao hivi vya Kamati Maalum za Bunge ziwe live / mubashara ili umma / Public waone nia njema ikifanyiwa kazi badala ya kuuziwa kitu ndani ya gunia tukidhani ni mbuzi kumbe ni mabua ya miwa .
 
Upo sahihi sn mkuu
 
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.

Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.

Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili kuwakomboa Watanzania. View attachment 2861640

Huyu kamanda wetu ilitakiwa apewe saa moja nzima atoe elimu hii muhimu ya uraia badala ya kubana kwa dakika sita, ambazo unaona kabisa meza kuu imetahayari na kustuka kwa nondo hii kali kutoka CHADEMA
 
Bila hili Baraza kwenda Dodoma na maazimio yao kuibana Kamati ya Bunge ya Sheria izingatie maoni ya Baraza la Vyama itakuwa kazi bure.

Maana tayari Kamati Maalum ya Bunge ipo kiserikali ya CCM badala ya Utaifa mbele. Na isisitizwe vikao hivi vya Kamati Maalum za Bunge ziwe live / mubashara ili umma / Public waone nia njema ikifanyiwa kazi badala ya kuuziwa kitu ndani ya gunia tukidhani ni mbuzi kumbe ni mabua ya miwa .
Kama baraza litakuwa lipo kwa maslahi ya taifa tutashuhudia linaingia Dodoma.

Lkn kama lipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya ccm basi yataishia hapo hapo ukumbini tu
 
nani zaidi kati ya Mungu na sheitwani, kama CDM ni chaguo kweli la Mungu, then, Mungu ataaingiza CDM ikulu, Mungu ndie huweka serikali za mataifa, hivyo yule aliyeko ikulu ndiye chaguo la kweli la Mungu!.
p

Acha kumfanya Mungu kama Babu yako. Mtu aingie madarakani kwa kuzima internet na kuiba kura halafu mnadai ni mpango wa Mungu. Mungu ajihusishi na wezi. Fanya siasa achana na mambo ya Mungu, usimhusishe Mungu na ujinga wa CCM.
 
Back
Top Bottom