Pre GE2025 CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wenye akili kubwa

Pre GE2025 CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wenye akili kubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili kubwa toka 1992 mnacheza reggae tu mwaka ambao George Weah hajaota hata kuwa diwani ila sasa ni Rais wa Liberia.
 
Asante sana Kigaila kwa kuwaonyesha hso watu kwamba wapo uchi na wanajiidhalilisha kwa kupora haki za wananchi wote.
 
Acha kumfanya Mungu kama Babu yako. Mtu aingie madarakani kwa kuzima internet na kuiba kura halafu mnadai ni mpango wa Mungu. Mungu ajihusishi na wezi. Fanya siasa achana na mambo ya Mungu, usimhusishe Mungu na ujinga wa CCM.
Mayalla kachanganyikiwa maana alitegemea kupata teuzi kipindi cha mjomba wake lkn ikabuuma
 
06 January 2023

MAONI YA ZITTO BUNGENI MISWADA


View: https://m.youtube.com/watch?v=_dKqau6Pl30
Zitto ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2023 ambapo Bunge linaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.
 
Naunga mkono hoja ila, ili kuthibitisha kuwa CDM ni chaguo la Mungu, then Mungu aiwezeshe Chadema kuingia ikulu!. Chaguo la Mungu, ni anayeingia Ikulu.

p
Kwahiyo wewe na uzao wako wote siyo chaguo la Mungu kwa vile hamko Ikulu ? Eti huyu ndiye mwandishi nguli wa habari Tanzania. Tanzania ina vihoja vya so called wasomi!
 
06 January 2024

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Utawala, Sheria na Katiba


View: https://m.youtube.com/watch?v=y9zbNS6Lfjw
Mh. Dkt. Joseph Kizito Mhagama (mbunge CCM) mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Utawala, sheria na Katiba akifafanua namna kamati ya kudumu ya Bunge inavyofanya kazi baada ya kuelekezwa spika wa Bunge kupokea maoni ya wananchi na wadau, inayohusu miswada iliyosomwa bungeni kwa mara ya kwanza inayohifaji maoni ya umma....
 
Back
Top Bottom