Kuingia pekee hakufanyi aingiaye awe chaguo la Mungu.Naunga mkono hoja ila, ili kuthibitisha kuwa CDM ni chaguo la Mungu, then Mungu aiwezeshe Chadema kuingia ikulu!. Chaguo la Mungu, ni anayeingia Ikulu.
p
Kama tulivyo shuhudia kwa macho na masikio yetuKuingia pekee hakufanyi aingiaye awe chaguo la Mungu.
Tumeshuhudia wengi wakiingia kwa njia haramu na kuja kutoka kwa aibu au vifo vibaya sana kama kina Sam Doe, Amin nk.
Madhalimu na wizi wao wa kura wana mwisho mbaya
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Paschal nikumuombea tu hakuna namnaHuyo atakuwa ni shtani
Jamaa yuko vizuri sana
Upo sahihi sn mkuuBila hili Baraza kwenda Dodoma na maazimio yao kuibana Kamati ya Bunge ya Sheria izingatie maoni ya Baraza la Vyama itakuwa kazi bure.
Maana tayari Kamati Maalum ya Bunge ipo kiserikali ya CCM badala ya Utaifa mbele. Na isisitizwe vikao hivi vya Kamati Maalum za Bunge ziwe live / mubashara ili umma / Public waone nia njema ikifanyiwa kazi badala ya kuuziwa kitu ndani ya gunia tukidhani ni mbuzi kumbe ni mabua ya miwa .
Msameheni Paschal siyo yeyeKama tulivyo shuhudia kwa macho na masikio yetu
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.
Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.
Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili kuwakomboa Watanzania. View attachment 2861640
Hata wezi na machukizo huwa wanaingia Ikulu mara nyingi tu. Mfano Mfalme Ahabu, CCM wote ni machukizo mbele za MunguNaunga mkono hoja ila, ili kuthibitisha kuwa CDM ni chaguo la Mungu, then Mungu aiwezeshe Chadema kuingia ikulu!. Chaguo la Mungu, ni anayeingia Ikulu.
p
Akili kubwa alafu ofisi kama choo kwa miaka 30
Naunga mkono hoja ila, ili kuthibitisha kuwa CDM ni chaguo la Mungu, then Mungu aiwezeshe Chadema kuingia ikulu!. Chaguo la Mungu, ni anayeingia Ikulu.
p
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.
Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.
Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili kuwakomboa Watanzania. View attachment 2861640
Ndiyo hivyo anaokotaokotaTatizo la Pascale ni njaa tu na kibaya zaidi ni jinsi umri wake unavyo mtupa mkono
Paschal nikumuombea tu hakuna namna
Kama baraza litakuwa lipo kwa maslahi ya taifa tutashuhudia linaingia Dodoma.Bila hili Baraza kwenda Dodoma na maazimio yao kuibana Kamati ya Bunge ya Sheria izingatie maoni ya Baraza la Vyama itakuwa kazi bure.
Maana tayari Kamati Maalum ya Bunge ipo kiserikali ya CCM badala ya Utaifa mbele. Na isisitizwe vikao hivi vya Kamati Maalum za Bunge ziwe live / mubashara ili umma / Public waone nia njema ikifanyiwa kazi badala ya kuuziwa kitu ndani ya gunia tukidhani ni mbuzi kumbe ni mabua ya miwa .
nani zaidi kati ya Mungu na sheitwani, kama CDM ni chaguo kweli la Mungu, then, Mungu ataaingiza CDM ikulu, Mungu ndie huweka serikali za mataifa, hivyo yule aliyeko ikulu ndiye chaguo la kweli la Mungu!.
p
Achana na Channel Ten ipigwe zoom meeting live nipo tayari hata keshoHuyu kamanda aalikwe kule Channel Ten tena apewe kipindi maalum na mheshimiwa Pascal Mayalla