Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL.
Ni lazima Tundu Lissu atumie satellite phone kwa Tanzania unaweza kuitumia kampuni kama Thuraya.
Kuna tabia ya kishamba kuingilia faragha za watu sina hakika kama Chadema wako aware kulinda faragha za viongozi wao wakuu na mgombea wao wa Urais Tundu Lissu?