Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Watumie satellite wanataka kuficha nini? Kama hakuna janjajanja watumie tu voda na airtelChadema imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Lisu?
Nitashangaa sana kama Tundu Lisu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au Ttcl.
Ni lazima Tundu Lisu atumie satellite phone kwa Tanzania unaweza kuitumia kampuni kama Thuraya.
Kuna tabia ya kishamba kuingilia faragha za watu sina hakika kama Chadema wako aware kulinda faragha za viongozi wao wakuu na mgombea wao wa Urais Tundu Lisu?