Uchaguzi 2020 CHADEMA imejiandaa vipi kwenye mfumo wa Mawasiliano, hasa Tundu Lissu?

Watumie satellite wanataka kuficha nini? Kama hakuna janjajanja watumie tu voda na airtel
 
Vipi kuhusu satellite phone kama Thuraya?

Satellite phone lazima uombe vibali TCRA ya kuzitumia hapa nchini, japo hiyo ni ishu ndogo...wanaweza kui by pass kama watakuwa na kitengo kizuri waka outsource hizo military phone kutoka private company wakawa wanazitumia wao maana kwa chama kuagiza na kuzitumia sidhani kama watakubaliwa.
 
Ina mianya ambayo watu wanaweza kupita na kufanya yao. Usione zile kelele kwamba serikali imepoteza sijui trilioni ukajua watu walikuwa wana uchungu na hiyo trillioni kweli! ile ni vitu vilinunuliwa....
Boss Tuambie iyo mianya hata ukitumia technical terms haina shida mimi pia ni mwanafield wa technology
 
Hapa ndipo ninapomuelewa vizuri Jasusi Membe ni kwa nini alikwenda Dubai.

Kweli Membe ni jasusi mbobezi
 
Walishalifanyia kazi kitambo sana hilo ndio maana wameweza kufika hapa walipo leo
 

Totally agree with you on this!!..Hawa jamaa inaonekana wapo wapo tu hawana mkakati wowote. Hata ACT wazalendo chama kichango wamewazidi kwenye digitization.
 
VPN is useless kama hakuna Internet, satellite phones utatumia kampuni iliyosajiliwa wapi au frequency zipi ambazo TCRA hawazijui, mawasiliano yote ya ndani na nje ya nchi yanarekodiwa.

Ukitaka ufanikiwe kuficha mambo yaks ni bora kutumia mini za kizamani za kuandika barua au Jumbe kwenye karatasi na kuzituma kwa mabasi au human couriers.
 
Ukitaka ufanikiwe kuficha mambo yaks ni bora kutumia mini za kizamani za kuandika barua au Jumbe kwenye karatasi na kuzituma kwa mabasi au human couriers.
Sasa ulichokiandika hapo ☝️ na hicho hapo chini πŸ‘‡ vinatofautiana nini mkuu?.
...ila kiukweli katika wakati kama huu mawasilianao yenye manufaa zaidi ni yale ya kuonana na muhusika mkayajenga papo kwa hapo na kuachana, vinginevyo inzi ni wengi wanaruka.
 

Ukitumia hiyo thuraya utashitakiwa na TCRA na faini na kifungo kinakuhusu.
 
Hiv tecno kumbe hazifai
 
VPN yatosha.
afu ka tabia haka kamenza ndani ya hii miaka 5 - yaani ni kupekuana pekuana tu hadi vitandani ha ha ha - CCM bana

CDM watakuwa vizuri - ni mambo ya Virtual Private Network njomba!!
...😁😁 alafu wanakuja kusema hazarani kwamba ulimtongoza furani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…