Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?
Zaidi ya hapo walilalamika sana kwamba katiba ya Chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho ya haraka sana, sifahamu kwanini hapakua na no reform no elections, na viongozi wapya hawana khabari nayo bali sasa wanawahadaa wananchi eti wasishiriki uchaguzi mkuu.
Ni wazi matapeli na vibaka wa siasa walioshika usukani kuiongoza Chadema hawana malengo mengine yoyote ya kisiasa, ispokua kutafuta pesa na kuhakikisha wanamkomba pesa ya kiwango chochote mwanachadema maskini bila huruma na bila kutaja au kumwambia kinahitajika kiasi gani pesa, kwa muda gani na kwa matumizi gani specifically, na hapo ndipo haswa upigaji ulipo jificha.
Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa Tanazania ni mapema October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania