Yes,
lazima tueleze wananchi ukweli gentleman 🐒
Hasa dawa inapowaingia hadi Kizimkazi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,
lazima tueleze wananchi ukweli gentleman 🐒
ni jambo la kheri mpaka sasa vibaka wa kisiasa wamefanikiwa kutapeli wanachadema wachache mno tena ni wale tu walihudhuria uzinduzi wa mfumo wa kutapeli wananchi kidigitali,Hasa dawa inapowaingia hadi Kizimkazi huko
Una ushahidi au hekaya za abunuwasi.Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?
Zaidi ya hapo walilalamika sana kwamba katiba ya Chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho ya haraka sana, sifahamu kwanini hapakua na no reform no elections, na viongozi wapya hawana khabari nayo bali sasa wanawahadaa wananchi eti wasishiriki uchaguzi mkuu.
Ni wazi matapeli na vibaka wa siasa walioshika usukani kuiongoza Chadema hawana malengo mengine yoyote ya kisiasa, ispokua kutafuta pesa na kuhakikisha wanamkomba pesa ya kiwango chochote mwanachadema maskini bila huruma na bila kutaja au kumwambia kinahitajika kiasi gani pesa, kwa muda gani na kwa matumizi gani specifically, na hapo ndipo haswa upigaji ulipo jificha.
Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa Tanazania ni mapema October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
halafu hilo kibaraka la mabwenyenye ya magharibi linabugia spirit balaa, ni zaidi ya kiongozi alie maliza muda wake chadema Taifa 🐒MISION ACCOMLPISHED, BATA KWA KWENDA MBELE WAJINGA NDIO WALIOWAO, WATOTO WA MJINI WASHAMPELEKA MTU KIBRA SASA NI BATA BATANI, LEMA HUNA KIU LEO?, LISSU AMEMALIZA MZINGA WOTE 😀
gentleman,Una ushahidi au hekaya za abunuwasi.
Najua wewe ni SANE Ila kwa kujua au kwa makusudi una amua kua INSANE GUY.
Gentleman,Hapo ndipo utakapogundua tofauti kati ya CCM na Chadema. Wakati Chadema wakiwaomba Watz Wazalendo kukichangia Chama, wao CCM wanamwaga rushwa kwa Wasanii na wengineo kutengeneza CHAWA. Chadema hakuna uchawa kuna HAKI.
Huwezi kulinganisha na hizi tunazoibiwa na hawa wa chama cha Kijani.mpaka sasa idadi ya waliotapeliwa na hao vibaka wa kisiasa ni wale tu waliokuako kwenye uzinduzi wa mfumo utapeli wa pesa kidigitali 🤣
Mkuu,gentleman,
huo ni Ukweli ambao haihitaji evidence kabisaa.
hebu niambie,
malengo ya kuanzishwa chadema ni kutapeli wananchi pesa na kunufaisha viongozi kiuchumi? au ni kususia uchaguzi na kuepuka kushika dola?🤣
eleza wadau kwa kifup sana malengo ya kuanzishwa chadema, usiwachoshe.🐒
ni jambo la kheri mpaka sasa vibaka wa kisiasa wamefanikiwa kutapeli wanachadema wachache mno tena ni wale tu walihudhuria uzinduzi wa mfumo wa kutapeli wananchi kidigitali,
je, wewe ni miongni mwa waliotapeliwa tayari gentleman?🐒
Nikionaga mada za Tlaatlaah huwa nachekaga tu😂😆
No reforms no electionWanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?
Zaidi ya hapo walilalamika sana kwamba katiba ya Chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho ya haraka sana, sifahamu kwanini hapakua na no reform no elections, na viongozi wapya hawana khabari nayo bali sasa wanawahadaa wananchi eti wasishiriki uchaguzi mkuu.
Ni wazi matapeli na vibaka wa siasa walioshika usukani kuiongoza Chadema hawana malengo mengine yoyote ya kisiasa, ispokua kutafuta pesa na kuhakikisha wanamkomba pesa ya kiwango chochote mwanachadema maskini bila huruma na bila kutaja au kumwambia kinahitajika kiasi gani pesa, kwa muda gani na kwa matumizi gani specifically, na hapo ndipo haswa upigaji ulipo jificha.
Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa Tanazania ni mapema October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sisi tunataka kutapeliwa; so relax .Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?
Zaidi ya hapo walilalamika sana kwamba katiba ya Chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho ya haraka sana, sifahamu kwanini hapakua na no reform no elections, na viongozi wapya hawana khabari nayo bali sasa wanawahadaa wananchi eti wasishiriki uchaguzi mkuu.
Ni wazi matapeli na vibaka wa siasa walioshika usukani kuiongoza Chadema hawana malengo mengine yoyote ya kisiasa, ispokua kutafuta pesa na kuhakikisha wanamkomba pesa ya kiwango chochote mwanachadema maskini bila huruma na bila kutaja au kumwambia kinahitajika kiasi gani pesa, kwa muda gani na kwa matumizi gani specifically, na hapo ndipo haswa upigaji ulipo jificha.
Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa Tanazania ni mapema October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Taifa linahusikaje na mambo ya ndani ya vyama, hata hivyo Chadema huongoza kwa kupata hati safi ya mkaguzi mkuu wa serikali.naandika mambo ya kitaifa yenye maslahi mapana ya taifa gentleman,
makasiriko yako yakutie nguvu upate mihemko zaidi 🐒
Unatumia muda mwingi kuandika hisia.Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?
Zaidi ya hapo walilalamika sana kwamba katiba ya Chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho ya haraka sana, sifahamu kwanini hapakua na no reform no elections, na viongozi wapya hawana khabari nayo bali sasa wanawahadaa wananchi eti wasishiriki uchaguzi mkuu.
Ni wazi matapeli na vibaka wa siasa walioshika usukani kuiongoza Chadema hawana malengo mengine yoyote ya kisiasa, ispokua kutafuta pesa na kuhakikisha wanamkomba pesa ya kiwango chochote mwanachadema maskini bila huruma na bila kutaja au kumwambia kinahitajika kiasi gani pesa, kwa muda gani na kwa matumizi gani specifically, na hapo ndipo haswa upigaji ulipo jificha.
Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa Tanazania ni mapema October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Top dogs eat under dogs.Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya waonekane wabaya halafu wao waonekane malaika. Kiko wapi sasa mbona ombaomba with nonstop?