Pre GE2025 CHADEMA imekuwa kitega uchumi cha viongozi wapya kujipatia pesa za kujikimu wao na familia zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hasa dawa inapowaingia hadi Kizimkazi huko
ni jambo la kheri mpaka sasa vibaka wa kisiasa wamefanikiwa kutapeli wanachadema wachache mno tena ni wale tu walihudhuria uzinduzi wa mfumo wa kutapeli wananchi kidigitali,

je, wewe ni miongni mwa waliotapeliwa tayari gentleman?πŸ’
 
Una ushahidi au hekaya za abunuwasi.

Najua wewe ni SANE Ila kwa kujua au kwa makusudi una amua kua INSANE GUY.
 
MISION ACCOMLPISHED, BATA KWA KWENDA MBELE WAJINGA NDIO WALIOWAO, WATOTO WA MJINI WASHAMPELEKA MTU KIBRA SASA NI BATA BATANI, LEMA HUNA KIU LEO?, LISSU AMEMALIZA MZINGA WOTE πŸ˜€
halafu hilo kibaraka la mabwenyenye ya magharibi linabugia spirit balaa, ni zaidi ya kiongozi alie maliza muda wake chadema Taifa πŸ’
 
Una ushahidi au hekaya za abunuwasi.

Najua wewe ni SANE Ila kwa kujua au kwa makusudi una amua kua INSANE GUY.
gentleman,
huo ni Ukweli ambao haihitaji evidence kabisaa.

hebu niambie,
malengo ya kuanzishwa chadema ni kutapeli wananchi pesa na kunufaisha viongozi kiuchumi? au ni kususia uchaguzi na kuepuka kushika dola?🀣

eleza wadau kwa kifup sana malengo ya kuanzishwa chadema, usiwachoshe.πŸ’
 
Hapo ndipo utakapogundua tofauti kati ya CCM na Chadema. Wakati Chadema wakiwaomba Watz Wazalendo kukichangia Chama, wao CCM wanamwaga rushwa kwa Wasanii na wengineo kutengeneza CHAWA. Chadema hakuna uchawa kuna HAKI.
 
Hapo ndipo utakapogundua tofauti kati ya CCM na Chadema. Wakati Chadema wakiwaomba Watz Wazalendo kukichangia Chama, wao CCM wanamwaga rushwa kwa Wasanii na wengineo kutengeneza CHAWA. Chadema hakuna uchawa kuna HAKI.
Gentleman,
kwahivyo chadema imebadilisha malengo ya kuanzishwa kwake, sasa hivi lengo ni kutapeli wananchi pesa kidigitali na kususia uchaguzi kuepuka kushinda uchaguzi na kushika dola right?🀣
 
mpaka sasa idadi ya waliotapeliwa na hao vibaka wa kisiasa ni wale tu waliokuako kwenye uzinduzi wa mfumo utapeli wa pesa kidigitali 🀣
Huwezi kulinganisha na hizi tunazoibiwa na hawa wa chama cha Kijani.
 
Mkuu,
Naona una hamisha magoli na kuamua kububujikwa Kama nduguyo comrade Lucas.

Una ambiwa lete ushahidi wewe unaleta maneno matupu/ porojo za vijiwe vya kahawa??

Wewe ni mwazili wa porojo,hila,uzandiki,fitina,uzushi na uongo ??!
 
ni jambo la kheri mpaka sasa vibaka wa kisiasa wamefanikiwa kutapeli wanachadema wachache mno tena ni wale tu walihudhuria uzinduzi wa mfumo wa kutapeli wananchi kidigitali,

je, wewe ni miongni mwa waliotapeliwa tayari gentleman?πŸ’

Kwa hiyo wajanja mliopona ni hawa?

 
No reforms no election
 
Sisi tunataka kutapeliwa; so relax .

Nimetuma Dola 3200. All the way from Canada.
 
naandika mambo ya kitaifa yenye maslahi mapana ya taifa gentleman,

makasiriko yako yakutie nguvu upate mihemko zaidi πŸ’
Taifa linahusikaje na mambo ya ndani ya vyama, hata hivyo Chadema huongoza kwa kupata hati safi ya mkaguzi mkuu wa serikali.
 
Unatumia muda mwingi kuandika hisia.
Pole sana ndugu
 
Top dogs eat under dogs.
Nothing new under the sun , this is the world of dog eats dog.
None loves you than yourself not even your parents, nothing is free under the sun, everything is traded.
Even fries can't stay with you if you don't dusts or wound , they run away. So who are you do you think he thinks about you.
People eat others just using their emotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…