Pre GE2025 CHADEMA imekuwa kitega uchumi cha viongozi wapya kujipatia pesa za kujikimu wao na familia zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unashindwa kulalamika watu wanakula hela Za uma kama wasomi ndonyie
 
Gentleman,
I love the way you have arranged your very powerful hip hop verses with very strong massage 🐒
 
VYAMA VYA UPINZANI N MAPEPO MKUU WAPIGAJI WATUPU
 
Mtoa mada wewe ni timu mbowe acha uongozi mpya ufanye shughuli zao with new strategies
 
Mkuu,
Naona una hamisha magoli na kuamua kububujikwa Kama nduguyo comrade Lucas.

Una ambiwa lete ushahidi wewe unaleta maneno matupu/ porojo za vijiwe vya kahawa??

Wewe ni mwazili wa porojo,hila,uzandiki,fitina,uzushi na uongo ??!
Gentleman,
kwamba umefumba macho huoni watu waliotapeliwa pesa kidigitali na vibaka wa siasa ndani ya chadema?

wewe bado hujapigwa sio, unajitafakari?

kwahivyo malengo ya kuanzishwa kwa chadema ni kutapeli wananchi pesa na kususia uchaguzi mkuu ili kuepuka kushika dollar? nauliza tu sio kwa ubaya 🤣
 
Unashindwa kulalamika watu wanakula hela Za uma kama wasomi ndonyie
mimi silalamiki gentleman,
naona huruma unavyotapeliwa pesa zako na vibaka wa siasa tena kidigitali kabisaa dah 🤣
 
Mtoa mada wewe ni timu mbowe acha uongozi mpya ufanye shughuli zao with new strategies
Gentleman,
hao vibaka na matapeli wa siasa chadema si walilalamika na kupiga mdomo sana kwamba kuna matumizi mabaya ya pesa za chadema, right?

hizo pesa ziko wapi sasa mbona viongozi wapya wamejikita kwenye utapeli wa pesa kidigitali tu?🤣
 
Sasa wataendesha chama kwa pesa ya bibi yako ruzuku haitoshi.
Lakini hawa vibaka walipiga kelele sana kwamba chadema ina pesa mingi sana na zinatumika vibaya sana na uongozi wa zamani?

hizo pesa ziko wapi sasa mbona ombaomba na utapeli wa kidigitali ndiyo umekua kipaumbele cha uongozi mpya wa Chadema? 🐒
 
Lecturer wangu nakuelewaga Sanaa Ila wewe sio Kama Lucas.

Najua chadema inawapa homa ndio maana kucha kutwa wewe ni kuhadaa umma na Taifa kwa siasa za propaganda 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…