..sina uhakika kama umeandika uongo, au ukweli.
..hoja yangu ni kwamba, cdm ina sifa mbaya, na sifa nzuri.
..sasa wewe umepitiliza ktk kuzielezea unachoamini ni sifa mbaya za cdm.
..katika uandishi, ukielemea zaidi upande mmoja unapoteza CREDIBILITY.
..unaonekana umekuja kuwapiga vita CDM, wakati wasomaji makini wanataka kujua pande zote mbili za mada husika.
..ndio maana nimekushauri ili wasomaji waheshimu mchango wako inabidi uwe BALANCED ktk mada yako.
..andika kitu kizuri, kilichokwenda SHULE, huwezi kujua nani anasoma mada zako na wapi uandishi wako unaweza kukufikisha.
cc
tindo
Mkuu kwanza kwa wewe kuwa Platinum member ni heshima kuu hapa JF, Nakupongeza kwa kuwa wengi wetu tungependa tuwe na daraja lako.
Nina machache ambayo nitataka kukumbusha;
1) Alicho changia Mramba hapa hakina tofauti yeyote ikiwa umepata nafasi ya kuongea kwa uchambuzi na wafuatao, Prof. Safari, Rwakatare, Komu, Selasini, Waitara, Zitto Kabwe, Gekul, Prof. Mkubo, Prof. Baregu, Marando, Dr Slaa na wengine.
2) Lakini kwa kuwa The brain you have is your standard unaweza kusema utachotaka kusema.
3) Prof. Baregu aliniambia na naquote " you plan as if you will never die" na akaaniambia hichi kitu hakipo CHADEMA na hata unapolazimisha kwa kuwa faida yake itaonekana baadae , hakuna anae kuwa tayari kuku sikiliza.
4) Katika mazungumzo yangu na Prof. Safari japo kuna mengi aliyozungumza lakini nitaelezea moja tuu Kuna systemic deficiency katika mfumo wa kuendesha chama kiasi mawazo mbadala hayani nafasi ila ushabiki bila kuwakilisha hoja toshelevu ndio zenye nafasi CHADEMA.
5) Mh. Kommu anasema mfumo wa kundesha chama na matumizi ya pesa yana fanana sana na duka la mtaani. ' Mtu analipwa pesa haujui mantiki ya kulipwa na kwa nii analipwa kiwango hicho?" Huyu Bwana haipendi CCM kweli kweli, hataki hata kuisikia. Lakini anasema CCM wanao mfumo wa kuendesha chama ambao unweza kuuzungumza na wanachama wanatakiwa kuutii.
6) Na wote wanasema it is not a coincidence Mbowe -Chairman - non Graduate, Benson Kigaila- Deputy Secretary Gen. - non Graduate, Sec. Gen- Mnyika- Collage drp out, Mwalimu Deputy Sec Gen Non Graduate.
Ukitaka kuishi Chadema kwa amani na upendwe na viongozi uliowakuta lazima uwe "NYUMBU NA KASUKU" haya ni maneno ya viongozi waandamizi wasomi ambao bado wako CHADEMA waajiriwa.
MKUU SAFARI YA UPINZANI BADO NI NDEFU.