IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Bado anaitamani na vile chadema tunazidi kung'aa basi kutwa halali.
Sasa si bora arudi awapigie magoti kama wenzake wakina Lowassa walivyofanya huko CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anaitamani na vile chadema tunazidi kung'aa basi kutwa halali.
Hujui kitu wewe
Vipi polepole? Na mwenyekiti wake anafeki PHD, msirushe mawe kwenye nyumba ya vioo. MtaumbukaMkuu kwanza kwa wewe kuwa Platinum member ni heshima kuu hapa JF, Nakupongeza kwa kuwa wengi wetu tungependa tuwe na daraja lako.
Nina machache ambayo nitataka kukumbusha;
1) Alicho changia Mramba hapa hakina tofauti yeyote ikiwa umepata nafasi ya kuongea kwa uchambuzi na wafuatao, Prof. Safari, Rwakatare, Komu, Selasini, Waitara, Zitto Kabwe, Gekul, Prof. Mkubo, Prof. Baregu, Marando, Dr Slaa na wengine.
2) Lakini kwa kuwa The brain you have is your standard unaweza kusema utachotaka kusema.
3) Prof. Baregu aliniambia na naquote " you plan as if you will never die" na akaaniambia hichi kitu hakipo CHADEMA na hata unapolazimisha kwa kuwa faida yake itaonekana baadae , hakuna anae kuwa tayari kuku sikiliza.
4) Katika mazungumzo yangu na Prof. Safari japo kuna mengi aliyozungumza lakini nitaelezea moja tuu Kuna systemic deficiency katika mfumo wa kuendesha chama kiasi mawazo mbadala hayani nafasi ila ushabiki bila kuwakilisha hoja toshelevu ndio zenye nafasi CHADEMA.
5) Mh. Kommu anasema mfumo wa kundesha chama na matumizi ya pesa yana fanana sana na duka la mtaani. ' Mtu analipwa pesa haujui mantiki ya kulipwa na kwa nii analipwa kiwango hicho?" Huyu Bwana haipendi CCM kweli kweli, hataki hata kuisikia. Lakini anasema CCM wanao mfumo wa kuendesha chama ambao unweza kuuzungumza na wanachama wanatakiwa kuutii.
6) Na wote wanasema it is not a coincidence Mbowe -Chairman - non Graduate, Benson Kigaila- Deputy Secretary Gen. - non Graduate, Sec. Gen- Mnyika- Collage drp out, Mwalimu Deputy Sec Gen Non Graduate.
Ukitaka kuishi Chadema kwa amani na upendwe na viongozi uliowakuta lazima uwe "NYUMBU NA KASUKU" haya ni maneno ya viongozi waandamizi wasomi ambao bado wako CHADEMA waajiriwa.
MKUU SAFARI YA UPINZANI BADO NI NDEFU.
Mliberali ha ha ha ha ha ha ha ha ha, The brain you have is your standard. Jibu hoja hapana vioja.Vipi polepole? Na mwenyekiti wake anafeki PHD, msirushe mawe kwenye nyumba ya vioo. Mtaumbuka
Hatuchukui used sisiSasa si bora arudi awapigie magoti kama wenzake wakina Lowassa walivyofanya huko CCM?
Mataga wa CCM akiwemo mleta mada mliishambulia CDM na kusema imekufa,hamjaamini macho yenu watu wanavyompokea Lissu mikoani,sasa mnakuja na propaganda zisizo na kichwa wala miguu!Benson Mramba hongera, muda mrefu nimekuwa nikisoma uwakilishi wako na mawazo ambayo hutupia hapa JF. Nime baini ume komaa, una muono halisia wa CHADEMA ambao wengine huuficha ili chama kisiendelee kunyong'onyea.
Nasumbuka wakati mwingi ninapo soma michango ya wafia chama na ndio ninapo amini nchi imepoteza upinzani.
Linapotoka jua asubuhi na wenzako wanasema huo ni Mwezi, moja kwa moja unajua una wapungufu wa kuona kama sio mapoyoyo.
Endelea kuleta madini kwa ambao wanajilazimisha kuwa vipofu mpaka wageuke KWELI VIPOFU (kisiasa).
Asante na naomba ni tug kwa andiko lolote utakalo shusha.
CCM hawana mpango na wewe, jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubuAwali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda.
Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu. Aidha nampongeza kwa kunivumilia na kupokea ukosoaji wangu. Sitazungumza tena habari za Mbowe kwasasa labda litokee jambo lenye maslahi kwa Taifa ambalo yeye atahusika.
Tatu nampongeza Tundu Lissu kwa kuteuliwa na CHADEMA kuwa Mgombea Urais. Hongera sana. Binafsi namuunga mkono Tundu Lissu kuwa miongoni mwa Wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi. Atanogesha uchaguzi na pia atamsaidia Rais Magufuli kujitathimi. Naamini hata wanaCCM wengi wanamuunga mkono maana atawasaidia kupata fedha toka chamani na kwa wagombea wao msimu huu wa uchaguzi baada ya njaa ya muda mrefu. In short I endorse Mr. Lissu but I will not vote for him.
OK nirudi kwenye mada sasa, Kwanini nasema Lissu amebebeshwa Jumba Bovu? Kwa maoni yangu ni kwamba CHADEMA hii ambayo Lissu anapeperusha bendera yake kwenye uchaguzi huu ni jumba bovu kwa sababu kuu mbili:-
1. CHADEMA ya Lissu kwenye uchaguzi huu tofauti na ya miaka iliyopita ni CHADEMA dhaifu sana kitaalum, oganaizesheni na kuaminika kwake na viongozi wake kwa jamii yetu. Hivyo haiweze hata kwa nusu kukabiliana na CCM labada na ACT au NCCR-Mageuzi.
CHADEMA ya sasa kama ambavyo tumekuwa tukisema ni CHADEMA ambayo think tank yake ni John Mrema, Reggy Munis, Sugu, Lema, Mnyika na Msigwa watu ambao ni mahodari wa hotuba na fitina ila hawana mipango kabisa na ni mafisadi ndani ya Chama. CHADEMA hii ni tofauti na ile ya akina Lwakatare, Komu, Marando, Prof. Baregu, Prof. Safari, Prof. Kitila Mkumbo, Dr. Slaa n.k. Hii ni chadema dhaifu sana kitaaluma.
CHADEMA ya sasa ni CHADEMA ambayo viongozi wake wa chini na vijana wake ni dhaifu sana, waoga na wamekuja kutafuta fedha na fursa ndani ya Chama tofauti na CHADEMA ile yenye Redbridge imara na inayotisha, CHADEMA yenye viongozi wanaojitoa Mali na hali zao, CHADEMA iliyokuwa na viongozi wafiachama na wanachama wanaokipenda chama na kuwaamini viongozi wao.
CHADEMA ya sasa ina viongozi ambao ni wezi hawaaminiki hivyo haiwezi kuchangisha hata fedha za kampeni. CHADEMA ambayo hata ikitembeza kikapu kwenye mikutano hakuna wa kuchanga kwasababu wanaamini fedha zitaliwa tu. CHADEMA ambayo viongozi wamethubutu kula pesa za matibabu ya mwenzao aliyepigwa risasi 16. Badala ya kulia nae wakafanya matatizo yake ni fursa kwao.
CHADEMA ya sasa haina fedha na haiaminiki. Haina uwezo wala watu wa kutafuta fedha au wanaoweza kuaminika wakakopeshwa. Haiwezi kuhamasisha maandamano ya vijana kujitoa muhanga dhidi ya vitisho vya dola. Namsikia Lissu akisema habari ya kuingia barabarani. Nakuapia kwa viongozi hawa wa CHADEMA hakuna mtu mjinga wa kutoa uhai wake au kupata majeraha kwa ajili yao kwasababu sio wakweli.
2. CHADEMA ya sasa ina wagombea dhaifu sana wa Ubunge kuliko hata ile ya mwaka 2005. Wabunge wenye kamsuli kidogo wameshakaa miaka 10 madarakani na hawafiki 10. Wana wakati mgumu wa kuonyesha walichofanya kwa miaka hiyo 10 na kwa kawaida watu wanakuwa washakuchoka.
Wagombea wengi wa Ubunge wa sasa ni dhaifu kisiasa, kielimu na kirasilimali. Hawawezi kupambana na wagombea wa CCM hata kidogo. Wagombea wengi majimboni ni wale waliokuwa wanataka Vitimaalum wamelazimishwa kugombea majimboni ili angalau wachange change kura kwa ajili ya ruzuku siku zijazo. KUMBUKA RUZUKU INATEGEMEA IDADI YA KURA ZA WABUNGE SIO RAIS.
Sasa kama huna wagombea imara wa Ubunge utashindaje Urais? Isitoshe chama chenyewe hakina hata hela ya kampeni? CHADEMA hii ya sasa ni JUMBA BOVU limemwangukia Lissu. Kuna majimbo hayana wagombea na mengine yana wagombea wawakilishi tu ili karatasi ya kura isikose nembo ya CHADEMA sio Wagombea shindani. Muda ungekuwepo tungechambua mgombea mmoja baada ya mwingine wa CHADEMA kwenye kila jimbo.
Siku zijazo nitatoa sababu za Lissu kushindwa ambazo ni udhaifu wake binafsi ili siku matokeo yakitangazwa tukumbushane isiwe tumeshtukizwa. Naomba kuwasilisha
Kwani mimi nilitaka wawe nao?CCM hawana mpango na wewe, jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu
Naona unatafuta nafasi ya kufagia Ikulu😂😂.Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda.

Ww ndo mjinga wa kudhani lissu matibabu yake ni sawa na mgonjwa mwingine pale muhimbili ..yaani ww cjui ni mchaga gani mpumbavu kiasi hicho ..miaka mitatu mtu atatibiwa kwa bilion ngp? Ndugai miezi 6 tu ilitumika bilion 29 japo ni ufisadi was hali ya juu ..je kwa akili yako fupi Kama ulivyo ww unadhani lissu ametibiwa kwa sh ngp hadi anarejea nchini? Yaan kifupi wee ni kenge tuHata matibabu ya Lissu uliambiwa hivyo hivyo kuwa zimechangwa ila waakubwa wakavunja akiba ya akaunti ya michango ya wabunge kwa matibabu hayo hayo. Wale walijilipia usiwe mjinga
Unajigonga sana kwao lakini kwa tuhuma za kukwapua njuluku kule Chadema na kabila lako halikubaliki hukoKwani mimi nilitaka wawe nao?
Naona hili jukwaa linazidi kuharibika, kuna haja gani ya kuhoji Kabila la mtoa mada hata kama baadhi yetu hatupendi alichoposti.Ww ndo mjinga wa kudhani lissu matibabu yake ni sawa na mgonjwa mwingine pale muhimbili ..yaani ww cjui ni mchaga gani mpumbavu kiasi hicho ..miaka mitatu mtu atatibiwa kwa bilion ngp? Ndugai miezi 6 tu ilitumika bilion 29 japo ni ufisadi was hali ya juu ..je kwa akili yako fupi Kama ulivyo ww unadhani lissu ametibiwa kwa sh ngp hadi anarejea nchini? Yaan kifupi wee ni kenge tu
Hayo ni mawazo yako, nakusikitikia umeshindwa kuzisoma alama za nyakati.Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda.
Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu. Aidha nampongeza kwa kunivumilia na kupokea ukosoaji wangu. Sitazungumza tena habari za Mbowe kwasasa labda litokee jambo lenye maslahi kwa Taifa ambalo yeye atahusika.
Tatu nampongeza Tundu Lissu kwa kuteuliwa na CHADEMA kuwa Mgombea Urais. Hongera sana. Binafsi namuunga mkono Tundu Lissu kuwa miongoni mwa Wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi. Atanogesha uchaguzi na pia atamsaidia Rais Magufuli kujitathimi. Naamini hata wanaCCM wengi wanamuunga mkono maana atawasaidia kupata fedha toka chamani na kwa wagombea wao msimu huu wa uchaguzi baada ya njaa ya muda mrefu. In short I endorse Mr. Lissu but I will not vote for him.
OK nirudi kwenye mada sasa, Kwanini nasema Lissu amebebeshwa Jumba Bovu? Kwa maoni yangu ni kwamba CHADEMA hii ambayo Lissu anapeperusha bendera yake kwenye uchaguzi huu ni jumba bovu kwa sababu kuu mbili:-
1. CHADEMA ya Lissu kwenye uchaguzi huu tofauti na ya miaka iliyopita ni CHADEMA dhaifu sana kitaalum, oganaizesheni na kuaminika kwake na viongozi wake kwa jamii yetu. Hivyo haiweze hata kwa nusu kukabiliana na CCM labada na ACT au NCCR-Mageuzi.
CHADEMA ya sasa kama ambavyo tumekuwa tukisema ni CHADEMA ambayo think tank yake ni John Mrema, Reggy Munis, Sugu, Lema, Mnyika na Msigwa watu ambao ni mahodari wa hotuba na fitina ila hawana mipango kabisa na ni mafisadi ndani ya Chama. CHADEMA hii ni tofauti na ile ya akina Lwakatare, Komu, Marando, Prof. Baregu, Prof. Safari, Prof. Kitila Mkumbo, Dr. Slaa n.k. Hii ni chadema dhaifu sana kitaaluma.
CHADEMA ya sasa ni CHADEMA ambayo viongozi wake wa chini na vijana wake ni dhaifu sana, waoga na wamekuja kutafuta fedha na fursa ndani ya Chama tofauti na CHADEMA ile yenye Redbridge imara na inayotisha, CHADEMA yenye viongozi wanaojitoa Mali na hali zao, CHADEMA iliyokuwa na viongozi wafiachama na wanachama wanaokipenda chama na kuwaamini viongozi wao.
CHADEMA ya sasa ina viongozi ambao ni wezi hawaaminiki hivyo haiwezi kuchangisha hata fedha za kampeni. CHADEMA ambayo hata ikitembeza kikapu kwenye mikutano hakuna wa kuchanga kwasababu wanaamini fedha zitaliwa tu. CHADEMA ambayo viongozi wamethubutu kula pesa za matibabu ya mwenzao aliyepigwa risasi 16. Badala ya kulia nae wakafanya matatizo yake ni fursa kwao.
CHADEMA ya sasa haina fedha na haiaminiki. Haina uwezo wala watu wa kutafuta fedha au wanaoweza kuaminika wakakopeshwa. Haiwezi kuhamasisha maandamano ya vijana kujitoa muhanga dhidi ya vitisho vya dola. Namsikia Lissu akisema habari ya kuingia barabarani. Nakuapia kwa viongozi hawa wa CHADEMA hakuna mtu mjinga wa kutoa uhai wake au kupata majeraha kwa ajili yao kwasababu sio wakweli.
2. CHADEMA ya sasa ina wagombea dhaifu sana wa Ubunge kuliko hata ile ya mwaka 2005. Wabunge wenye kamsuli kidogo wameshakaa miaka 10 madarakani na hawafiki 10. Wana wakati mgumu wa kuonyesha walichofanya kwa miaka hiyo 10 na kwa kawaida watu wanakuwa washakuchoka.
Wagombea wengi wa Ubunge wa sasa ni dhaifu kisiasa, kielimu na kirasilimali. Hawawezi kupambana na wagombea wa CCM hata kidogo. Wagombea wengi majimboni ni wale waliokuwa wanataka Vitimaalum wamelazimishwa kugombea majimboni ili angalau wachange change kura kwa ajili ya ruzuku siku zijazo. KUMBUKA RUZUKU INATEGEMEA IDADI YA KURA ZA WABUNGE SIO RAIS.
Sasa kama huna wagombea imara wa Ubunge utashindaje Urais? Isitoshe chama chenyewe hakina hata hela ya kampeni? CHADEMA hii ya sasa ni JUMBA BOVU limemwangukia Lissu. Kuna majimbo hayana wagombea na mengine yana wagombea wawakilishi tu ili karatasi ya kura isikose nembo ya CHADEMA sio Wagombea shindani. Muda ungekuwepo tungechambua mgombea mmoja baada ya mwingine wa CHADEMA kwenye kila jimbo.
Siku zijazo nitatoa sababu za Lissu kushindwa ambazo ni udhaifu wake binafsi ili siku matokeo yakitangazwa tukumbushane isiwe tumeshtukizwa. Naomba kuwasilisha
Upo hapo?Magufuli 2015 hakushinda 2020 anazijwa kisiasa is a one term president
Aisee, tumerudi kuangalia utabiri wako🙂Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda.