Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea.

Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari.

Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia baadae watamtupa kama ndomu.

Namshauri asiisahau future yake
Umesahau mpaka kawa kichaa yaani kichwani kawa mtupu, anatapa tapa tu ovyo mara mbowe mwizi mara kuna rushwa chama mfu chadema. Nadhani asaidiwe kisaikolojia ili arudi kuwa mtu
 
Kimbene unahangaika mno na chadema
 
Back
Top Bottom