CHADEMA imfukuze Lissu sasa

Too late, lissu ni asset too valuable kufukuzwa, plus unaongelea hisia zako. Chama hakifanyi maamuzi based on hisia
 
Wewe bwabwa na mabwabwa wenzako sehemu zenu za haja kubwa zisiposhughulikiwa kwa masaa 36 tu mnachanganyikiwa.
Subiri kamanda feki Mbowe akae pembeni mwamba ashike usukani muone moto wake
 
Chawa wa Mbowe
 

Watamfukuzaje mtu ambaye anaungwa mkono na wajumbe wengi zaidi kwenye chama? Afukuzwe na nani sasa kwa manufaa ya nani kama watu wengi ndani ya chama na nje ya chama wanamuunga mkono yeye na Heche
 
Lisu ana shida kichwani
 
Team Mbowe zingatieni 'fair play' ....

JokaKuu Lusungo Mag3 Bams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…