CHADEMA imfukuze Lissu sasa

CHADEMA imfukuze Lissu sasa

Nimeishaandika juu ya haja ya Lissu kufukuzwa CHADEMA. Wakati naandika kwa kweli sikuwa nimeona ushahidi wa wazi wa Chama kufanya hivyo. Leo nimejiridhisha pasipo Shaka. Chadema wasisubiri hata Uchaguzi. Wamfukuze Lissu sasa. Wakisubiri uchaguzi na kuogopa makelele ya watu watavuna mabua. Wakati ni sasa kabla ya uchaguzi.
Nitaanza kuweka ushahidi wa kumtia Lissu hatiani ili afukuzwe mara moja.
Admn msiunganishe uzi wangu huu na ule wa mwanzo.
Too late, lissu ni asset too valuable kufukuzwa, plus unaongelea hisia zako. Chama hakifanyi maamuzi based on hisia
 
Wewe bwabwa na mabwabwa wenzako sehemu zenu za haja kubwa zisiposhughulikiwa kwa masaa 36 tu mnachanganyikiwa.
Subiri kamanda feki Mbowe akae pembeni mwamba ashike usukani muone moto wake
 
Nimeishaandika juu ya haja ya Lissu kufukuzwa CHADEMA. Wakati naandika kwa kweli sikuwa nimeona ushahidi wa wazi wa Chama kufanya hivyo. Leo nimejiridhisha pasipo Shaka. Chadema wasisubiri hata Uchaguzi. Wamfukuze Lissu sasa. Wakisubiri uchaguzi na kuogopa makelele ya watu watavuna mabua. Wakati ni sasa kabla ya uchaguzi.
Nitaanza kuweka ushahidi wa kumtia Lissu hatiani ili afukuzwe mara moja.
Admn msiunganishe uzi wangu huu na ule wa mwanzo.
Chawa wa Mbowe
 
Watamfukuzaje mtu ambaye anaungwa mkono na wajumbe wengi zaidi kwenye chama? Afukuzwe na nani sasa kwa manufaa ya nani kama watu wengi ndani ya chama na nje ya chama wanamuunga mkono yeye na Heche
 
Nimeishaandika juu ya haja ya Lissu kufukuzwa CHADEMA. Wakati naandika kwa kweli sikuwa nimeona ushahidi wa wazi wa Chama kufanya hivyo. Leo nimejiridhisha pasipo Shaka. Chadema wasisubiri hata Uchaguzi. Wamfukuze Lissu sasa. Wakisubiri uchaguzi na kuogopa makelele ya watu watavuna mabua. Wakati ni sasa kabla ya uchaguzi.
Nitaanza kuweka ushahidi wa kumtia Lissu hatiani ili afukuzwe mara moja.
Admn msiunganishe uzi wangu huu na ule wa mwanzo.
Lisu ana shida kichwani
 
Team Mbowe zingatieni 'fair play' ....

JokaKuu Lusungo Mag3 Bams
 
Back
Top Bottom