CHADEMA in Limbo: Makundi, njaa, upendeleo vyatajwa kuwa chanzo cha sintofahamu

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Wakati umefika sasa baadhi ya viongozi wamemweleza Mbowe aache kuhadaa makamanda "kukubaliana na njaa, kuendesha chama kwa hela zao" ilihali yeye anatumia rasilimali za chama kuaafiri, kujilipa posho nk.

Kiongozi mmoja ambaye ni mwandamizi alisema "huwezi kuwaambia wenzako wajikite kwenye shughuli za chama kwa kutumia gharama zao, watoto wao watakula nini, watasomaje, hakuna kazi ya bure; viongozi wa dini wanakula madhabahuni, majaji na wanasheria wanakula kortini na sisi wanasiasa lazima siasa zitutunze"

Baadhi ya viongozi wamebeza kauli ya Mbowe kuwa "CHADEMA haichukui ruzuku", wameonyesha wasiwasi, wameenda mbali kwa kusema "ni nani kati yetu anajua kwa hakika mambo ya fedha ya Chadema miaka yote?"

Kumekuwepo pia na tuhuma za upendeleo wa wazi wazi ambao baadhi ya viongozi hao wamelalamikia. "Tunarudi tulikotoka,tulianza kutengeneza taasisi lakini sasa ni dhahiri tunaiona sura ya ubinafsi"

Muda unasema sasa!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.

Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.


My take.

Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.

Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.

 
Chadema sio chama tawala,maneno kibao,ingekuwa kinatawala ingekuwaje?
Kuna lichama lipo Madarakani tangu 1960!lakini halijaweza kutatua shida za wananchi
 
Kamanda umeshasajili wangapi kwa ujira wa jero?
MXC10K7M
Imethibitishwa. Umepokea Tsh 7,000 kutoka Lumumba akaunti namba 8927161939 Meko account.
Salio lako la M-pesa ni Tsh 7,600.

Vodacom, power to you
 
Mwendazake Mwendazakee, Mwandazake, Mwendazake , Mwendazake, Mwendazake kweli hakulamba?
 
Shughulika na uombaji dhamana za akina "Mungiki ole Saambaya"!Unayoyabuni kwa CDM yatakufanya ujinunishe tu.😂😂😂
 
Tungekuamini zaidi kama ungewataja kwa majina.

Amandla...
 
Kuna rafiki yako mmoja amesema eti Sabaya kashitakiwa kwa kumngóa Mbowe Hai katika kinyangányiro cha Ubunge mwaka 2020. Wewe kwa hilo unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…