CHADEMA in Limbo: Makundi, njaa, upendeleo vyatajwa kuwa chanzo cha sintofahamu

Naunga mkono hoja, Chadema bila ruzuku ni safari ya kuelekea 6ft under.
P
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kukizungumzia chama mnachosema kimekufa? Chama ambacho hakina Wabunge? Hakina ruzuku? Hakina Watendaji serikalini?
TUNAWASHANGGAA WALIOKOMHUKO WANA MOYO WA KIFALA SANA WANASUBIRI NINI SASA
 
TANU ilikuwa ilipewa na ruzuku na wakoloni??? Akili gani hii
 
Ndugu yangu,wakudadavua,Kamanda mchovu,nigrantagrant,kwani mnatumwa na nani,je ni wanachama kweli wa chama mnachokishambulia kila uchao au ni mamluki,au ni mlioenguliwa,ama waunga juhudi wa enzi zile .Msaada kutoka kwenu tafadhali.
 
Naunga mkono hoja, Chadema bila ruzuku ni safari ya kuelekea 6ft under.
P
Kwani mnasahau kama ni kufa zamani kingekuwa kimesahaulika,ndio maana wengi bado mnatamani zirudi enzi zilizopita hivi karibuni,sasa naamini wengi mlinufaika na enzi za kutofuata sheria,taratibu na hata Katiba ,hii imeekaaje wajameni.Sasa niwaambie tu kwa yote waliyopitia wapenda haki,hivi sasa,wameimarika Sana.Na wanaona mwanga na wananguvu Sana za kuzidisha mapambano yenye tija na manufaa kwa taifa.
 
Itawasaidia kupata usingizi, endelea kujiliwaza na wenzio.
 
Naunga mkono hoja, Chadema bila ruzuku ni safari ya kuelekea 6ft under.
P
Pole sana, Wimbo huo umeuimba kwa siku nyingi mno mpaka umechina.
Baada ya yale MAPOROJO ya Lwakatare kumwaga mboga na JIWE kuondoka zake, kama mzoefu ungejionea huruma na kujinyamazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…