CHADEMA in Limbo: Makundi, njaa, upendeleo vyatajwa kuwa chanzo cha sintofahamu

Mbona kama wewe wakudadavua ndio una njaa.
Nakushauri ongelea ya Lumbumba, ya Ufipa waachie wenyewe.

Umeelewa?
 
Kamanda tulia
Pole sana, Wimbo huo umeuimba kwa siku nyingi mno mpaka umechina.
Baada ya yale MAPOROJO ya Lwakatare kumwaga mboga na JIWE kuondoka zake, kama mzoefu ungejionea huruma na kujinyamazia.
 
Hayakuhusu!
 
Kamanda jikite kwenye hoja
 
Kuibiwa kura nyingi hivyo. Chadema kupata jimbo moja tu aaaaaa hapana kabisa. Kulikuweko na tatizo kubwa sana. At list majimbo 10 hivi tungepata
 
Mpaka kufika 2025 Chadema itakuwa zaidi PONA!
 
Kutibiwa kura nyingi hivyo. Chadema kupata jimbo moja tu aaaaaa hapana kabisa. Kulikuweko na tatizo kubwa sana. At list majimbo 10 hivi tungepata
Jee unaweza kuyataja hata majimbo 5 tuu ambayo unafikiri Chadema ingeshinda? .
 
Chadema sio chama tawala,maneno kibao,ingekuwa kinatawala ingekuwaje?
Kuna lichama lipo Madarakani tangu 1960!lakini halijaweza kutatua shida za wananchi
Nchi gani duniani ambayo imeweza kutatua changamoto za wananchi 100%?

Ebu itaje hata moja hapa,kazi kukaririshwa bila kutumia UBONGO
 
Nndugu yangu wakudada,hebu yadadavue na madudu ndani ya chama chako japo mara moja,ngoma isiyokuhusu iwejewaifungia kibwebwe.
 
Another rubbish from a despondent harlot who has lost favour from the current establishment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…