Kura yako haisaidii kitu.Inakuuma nini wasipofanya hizo siasa?
Watakaofanya waachwe wafanye .
Mimi binafsi sintoshiriki shughuli yeyote ya kisiasa kuhusiana na uchaguzi na wala sintopiga kura .
2020 sikupiga kura na hii 2025 sitegemei kumpigia kura yeyote yule kama mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hayatafanyika
kukataliwa na mtu wako wa karibu tena hadharini ni kitu mbaya sana gentleman, dah 🐒Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Shupazeni shingo rungu linakuja maji mtaita mmaKura yako haisaidii kitu.
Mama mitano tena
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Huyo samia atawale hata milele hanisaidii kitu chochote kwenye maisha yanguKura yako haisaidii kitu.
Mama mitano tena
Dawa imekuingiaHadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Nini maana ya siasa mkuu???Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Mkuu si ndio vizuri mpite kwa kishindo, au?
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tuu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
CDM mtamtafuta Mbowe kwa machozi na hatarudi, kuna hekima ya kuongoza chama kikubwa kama CDM ati!Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking.
Mnajipa moyo sanaCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tuu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.