SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Mbowe na genge lake wameshaondoka Chadema na No Reforms No Election inazidi kuchanja mbuga.CDM mtamtafuta Mbowe kwa machozi na hatarudi, kuna hekima ya kuongoza chama kikubwa kama CDM ati!
Nimekaa palee👉👉Mnajipa moyo sana
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Wameshafanikiwa mpaka sasaKuna vijana takrban elf 15 kwenye makund ya whatsap wanajiita wasiokua na ajira 😂😂 wanajiandaa kuichinja ccm Sasa sijui watafanikiwa 😄
Na iwe kherWameshafanikiwa mpaka sasa
..na siku inakuja hizo hela wanazowapa watajibu walikokuwa wanazitoa..ndio maana inflation hata haieleweki, sababu ya huu utakatishaji kwenye siasa, pesa hazieleweki zinakochukuliwa na zinapewa watu gizani!Yaani cdm haitamani kushiriki chaguzi za kihuni, wala kujutia kutosaini kanuni za kipuuzi. Cdm itafanya siasa muda wowote na sisi tunaisikia. Kama mmewapa pesa hao cdm maslahi ili ionekane cdm kuna mpasuko, basi mmeukalia. Kama nia kuelewana nao hao waitisha press elewaneni nao nyinyi maana ndio mnawatumia.
Mimi nasapoti noo refomu noo eleksheni lakini Lissu anakosea pahali.Mbowe na genge lake wameshaondoka Chadema na No Reforms No Election inazidi kuchanja mbuga.
Ndoto za mchana hizi. Angekufa chama kingekufa? Huu upuuzi mnafanya ni ili kuhalalisha ionekane Mbowe alikuwa kiongozi mzuri. Amekaa miaka 20 imetosha, mlitaka afie kwenye hicho cheo? Hatumuhitaji wala hatummiss. Akafanye yake na chama kiendelee na uongozi mpya.CDM mtamtafuta Mbowe kwa machozi na hatarudi, kuna hekima ya kuongoza chama kikubwa kama CDM ati!
Tatizo sio Mbowe aendelee au aondoke, tatizo ni wale wanaochukua nafasi yake wanafanya nini kudumisha maono ya Chama.Ndoto za mchana hizi. Angekufa chama kingekufa? Huu upuuzi mnafanya ni ili kuhalalisha ionekane Mbowe alikuwa kiongozi mzuri. Amekaa miaka 20 imetosha, mlitaka afie kwenye hicho cheo? Hatumuhitaji wala hatummiss. Akafanye yake na chama kiendelee na uongozi mpya.
Wanafanya sana, hadi sasa wana chini ya siku 100, na wameanza na mikutano ya NRNE, Na operation hiyo hadi sasa imepata mwitikoa chanya. Ulitaka wafanye nini ww kwa muda huo?Tatizo sio Mbowe aendelee au aondoke, tatizo ni wale wanaochukua nafasi yake wanafanya nini kudumisha maono ya Chama.
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Tatizo sio Mbowe aendelee au aondoke, tatizo ni wale wanaochukua nafasi yake wanafanya nini kudumisha maono ya Chama.
Huwezi kuwa Chadema damu zaidi yangu. Mimi nachukizwa na jambo la kuanza kuangalia sijui mtu wa Mbowe au mtu wa Lissu na kuanza kubaguana kwa misingi hiyo, matokeo yake ndio hayo tunaona sasa kila mkoa viongozi wanajiengua chamani. Busara zipo wapi? Au hatujashtukia tu kwamba kuna viongozi wapya wanafanya kazi ya CCM ndani ya CDM?Wanafanya sana, hadi sasa wana chini ya siku 100, na wameanza na mikutano ya NRNE, Na operation hiyo hadi sasa imepata mwitikoa chanya. Ulitaka wafanye nini ww kwa muda huo?
Sijali ww una ucdm wa kiwango gani, najua fika kinachofanyika hivi sasa ni nini, na wengi ni wale team Mbowe. Cdm inaendelea na mikutano yao ya NRNE sio kupoteza muda na hao waliokosa vyeo. Kama cdm itakufa kwa kusimamia maaumuzi ya chama acha ife, na sio kujihangaisha na hao wasaka vyeo. Chama kimekuwa kikiporwa chaguzi kila mara, mbona hatukuona press za kila mara kulaani wizi huo? Ama uongozi kuwa mwingine ndani ya cdm kwao ndio imekuwa tatizo kubwa? Halafu unataka nikuone ww ni bonge la cdm, au na ww ni hao hao G55?Huwezi kuwa Chadema damu zaidi yangu. Mimi nachukizwa na jambo la kuanza kuangalia sijui mtu wa Mbowe au mtu wa Lissu na kuanza kubaguana kwa misingi hiyo, matokeo yake ndio hayo tunaona sasa kila mkoa viongozi wanajiengua chamani. Busara zipo wapi? Au hatujashtukia tu kwamba kuna viongozi wapya wanafanya kazi ya CCM ndani ya CDM?
Ahaaaahaaaaaaaaahahaaaaaaa!!!!!!!!!! Mwezi na nusu ujao ndio siasa zinaanza nchi hii.Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.
Unavyofikiri ni kama Tundu Lissu, eti tusiangalie wale waliokosa vyeo...., chama kimekuwa kikiporwa chaguzi....., CDM haiwezi kufa...., tutakuwa ngangari..,.Sijali ww una ucdm wa kiwango gani, najua fika kinachofanyika hivi sasa ni nini, na wengi ni wale team Mbowe. Cdm inaendelea na mikutano yao ya NRNE sio kupoteza muda na hao waliokosa vyeo. Kama cdm itakufa kwa kusimamia maaumuzi ya chama acha ife, na sio kujihangaisha na hao wasaka vyeo. Chama kimekuwa kikiporwa chaguzi kila mara, mbona hatukuona press za kila mara kulaani wizi huo? Ama uongozi kuwa mwingine ndani ya cdm kwao ndio imekuwa tatizo kubwa? Halafu unataka nikuone ww ni bonge la cdm, au na ww ni hao hao G55?
Cdm hawana lolote la kuiga kwa ccm, kama unataka cdm watumie njia za ccm basi umebug. Uchaguzi wa cdm ulikuwa ww haki na uwazi, na mshindi alipatikana kihalali. Ccm wanavunja makundi maana huwa hawashindi kihalali. Hata hivyo isiwe tabu, hamieni vyama vingine, mkifika huko mkimaliza uchaguzi pikeni pilau mvunje makundi.Unavyofikiri ni kama Tundu Lissu, eti tusiangalie wale waliokosa vyeo...., chama kimekuwa kikiporwa chaguzi....., CDM haiwezi kufa...., tutakuwa ngangari..,.
Hata CCM na ubabe wao hupika pilau kubwa kila baada ya uchaguzi, Unajua pilau hili ni la nini? Sio kusherehekea ushindi tu, bali ni pilau la kuvunja kambi na makundi yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi. Hii ni hekima kubwa ya kuishi na wajinga wa nchi hii. Lissu hajui jambo hili.