Cdm hawana lolote la kuiga kwa ccm, kama unataka cdm watumie njia za ccm basi umebug. Uchaguzi wa cdm ulikuwa ww haki na uwazi, na mshindi alipatikana kihalali. Ccm wanavunja makundi maana huwa hawashindi kihalali. Hata hivyo isiwe tabu, hamieni vyama vingine, mkifika huko mkimaliza uchaguzi pikeni pilau mvunje makundi.