CHADEMA ina Presidential Material mwingine zaidi ya Lissu?

CHADEMA ina Presidential Material mwingine zaidi ya Lissu?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
January mwaka kesho Chadema inatarajia kumchagua Mwenyekiti wao mpya Taifa, ikumbukwe kuwa mwaka huo huo Novemba 2025 chama hicho kinakabiliwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kwa uzoefu wangu hadi sasa sioni mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya Chadema kupambana na Samia zaidi ya Lissu.

Endapo Lissu ataamua kutogombea au vinginevyo, kuna Presidential material mwingine anaweza kuwa mbadala wa Lissu, ukizingatia si kila kiongozi anasifa ya kugombea urais.
 
Back
Top Bottom