GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo Mtu mwenye Hadhi ya VIP hapa nchini Uganda huku AKIIHESHIMISHA Tanzania anaambiwa Hana Hela, afanye Kazi hata ya Kuuza Nyanya Sokoni ili ajikwamue Kiuchumi. Kuna Watu hapa JamiiForums mnakariri Maisha kwamba yule GENTAMYCINE wa 2017 hadi 2023 mliyekuwa ama mnamjua au mnamuona basi ndiyo huyu wa leo 2024.We popoma una akili gani zaidi ya kujaza matope tu kichwani, una msongo mkubwa sana wa mawazo kwa kukosa hela, fanya kazi hata ya kuuza nyanya sokoni ujikwamue kiuchumi
Mwenyezi Mungu awasameheni / akusamehe mno kwa huo / huu UPUMBAVU wenu. Nina uhakika wa 100% ukibahatisha kujua HADHI niliyonayo sasa hapa nchini Uganda si tu utaniomba RADHI bali utasema pia uwe Mke wangu (japo Wewe ni Mwanaume) na unajua Wanaume wakiwa Wake za Wanaume wenzao wanakuwa ni akina nani.