CHADEMA ina watu wana akili sana

That was amazing.....cross cutting edge kwenye ubunifu wa matumizi ya tech
 
CCM wanabebana watoto wa vigogo na kupeana fursa wao kwa wao
Na ndio wanatafuna nchi kila siku wako dubai, marekani.

Sisi wamatuachia Kofia, na Mark x za Namba A au B. Basi unajiona mjanja kumbe kanjnja
 
Bakuli hadi serekali inatembeza, ndio itakuwa chama cha siasa kisichokusanya kodi?
Wapi Serikali uliwahi ona inatembwza Bakuli sijui kuandaa misheni za kijinga kama hizo?

Itoshe kusema nyumbu Wana akili kuwazidi 🤣🤣
 
Wapi Serikali uliwahi ona inatembwza Bakuli sijui kuandaa misheni za kijinga kama hizo?

Itoshe kusema nyumbu Wana akili kuwazidi 🤣🤣
Mpaka waitishe kwa njia ya tone tone? Tazama kwenye bajeti ya serekali kisha uone fedha nyingine zinatoka wapi, ndio ujue bakuli ndio habari ya mjini. Ukiona huelewi vizuri, tafuta mwalimu wa historia akaumbie Nyerere alikuwa anaenda UNO kwa hela za aina gani. Ukimaliza hapo uje tuendelee na mjadala.
 
Hamna akili nyie,join the chain,sijui upuuzi gani saizi mumekuja na huo utapeli 🤣🤣

Kamateni nyumbu wenzenu
 
Hamna akili nyie,join the chain,sijui upuuzi gani saizi mumekuja na huo utapeli 🤣🤣

Kamateni nyumbu wenzenu
Tulia uone wanaume wanakusanya mpunga wa kutosha. Jana peke yake umeingia mpunga wa kutosha, na bado tunaendelea kutoa. Utajisaidia boga safari hii.
 
Big brains ziko opposition sio CCM.
Leo ombaomba ni big brains huko Chadema! Basi sawa.
Toka small brains Mbowe aliyeweza kuongoza chama kwa mikakati isiyo ya ki matonya matonya aondoke, mnajiona mna akili nyingi za kuomba omba.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Chadema ni mpango wa Mungu
 
Matusi na uchawi havitakusaidia lolote wewe wala wazazi wako, jifunze kujadili hoja bila kutukana, huu ndio ustaarabu wa JF
Mimi nilidhani utasema ustaarab kwa Chadomo kumbe hiki kidilingi, fanya kazi wewe lofa acha uchawa it is not good for your health.
 
Mleta Uzi ni either kalewa au kayatimba sehemu

Taarifa yake iko vague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…