Mimi nimehamia mkoa mwingine na nishavuta kadi ya ccm. Nitagombea nafasi ya ubunge kupitia CCM 2025, watajua mm ni mwenzao kumbe nipo kazini. Anguko la hiki chama chakavu litakuwa siyo la nchi hii
Muslim Brotherhood ilikuwepo toka enzi za Anwar Sadat. Struggle ya demokrasia ya kweli Tanzania itakuwa ya muda mrefu sana yenye machozi, jasho na damu.
Ni wazi sasa kuwa ERA ya siasa na ushawishi wa Magufuli itadumu kwa at least miaka 30 zaidi unless siasa za dunia au external factors zingine zilazimishe mabadiliko ya haraka ndani ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.