Chadema inahujumiwa na vijana wanaowalea na kuwachekea; Fukuzeni hao watu kwenye chama

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa!

Chama cha kisiasa kina sera na itikadi!

Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama hata kushindwa kufuata miiko ya chama!

Hao watu hawafai kabisa kubakia wanachama chadema! Kama mnasikia sauti hii nawashauri Muwafukuze haraka iwezekanavyo!

Wanamikakati yote kuhakikisha uongozi wa Tundu lissu uonekane siyo lolote!
Vijana hao wengi wao wa mlengo wa mbowe wamepewa maagizo ya kudhoofisha kila mpango wa chadema!

Sina maana kwamba kila aliyemuunga mbowe kwamba ni mbaya hapana!
Wapo waluomuunga mbowe kidemokrasia hawa washamaliza uchaguzi wakaungana mkono mwenyekiti mpya

LAKINI wapo wale machawa waliomuunga Mbowe kama sponsor, kama dira, kama mwajiri wao, kama mfereji wa fedha n.k

Watu hao namna bora kabisa ya kuwafariji ni kuwaondoa kwenye chama!
Kila mpango mzuri ndani watautia unaaa (Husda) na kiimani HUSDA huwa inakubalika endapo mtu anauhalali.
Moja ya uhalali ni uanachama wao!
Ili kuondoa hiyo NGUVU HASI katika mipango ya chama ni kuwaondolea UHALALI kwa kuwafukuza!

Hata ukioa mwanamke ambaye akili yake kutwa inasifia tu bwana wake wa zamani,
Kila tukio anasema yule bwanangu hapa angeshafanya hivi na vile hapo ndoa hamna kwa lugha nyingine anataka ufe arudi kwa bwanake, hapo ndoa hakuna unakuwa unapoteza muda na kujitaftia uhanithi kwa kuvumilia ujinga.

Fukuzeni hao vijana haraka wapo wanne; na wanalipwa kwa hujuma hizo. TIMUENI au tafteni plan B kama kuwatimua hamtaki.
 
CHADEMA ni taasisi kubwa na inayojitambua sana.. Wenye kujaribu kuichezea watachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Ndo wanachokitaka ili wakibagaze chama! Hawaheshimu kiongozi yoyote zaidi ya Mbowe anaewalisha!
 
Wahuni bado wapo,si rahisi kwa mizizi ya chairman kukatwa haraka.Inahitaji muda na TLS anajua hilo
 
Hakuna Mfalme anaezikwa peke yake! #Mshana Jr anafaham hilo!

Wanaomsindikiza mbowe wafukuzwe pamoja naye
 
Ndo wanachokitaka ili wakibagaze chama! Hawaheshimu kiongozi yoyote zaidi ya Mbowe anaewalisha!

Una maana hii Man U?

Gknr00nXQAA56h7.jpeg
 
Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa!

Chama cha kisiasa kina sera na itikadi!

Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama hata kushindwa kufuata miiko ya chama!

Hao watu hawafai kabisa kubakia wanachama chadema! Kama mnasikia sauti hii nawashauri Muwafukuze haraka iwezekanavyo!

Wanamikakati yote kuhakikisha uongozi wa Tundu lissu uonekane siyo lolote!
Vijana hao wengi wao wa mlengo wa mbowe wamepewa maagizo ya kudhoofisha kila mpango wa chadema!

Sina maana kwamba kila aliyemuunga mbowe kwamba ni mbaya hapana!
Wapo waluomuunga mbowe kidemokrasia hawa washamaliza uchaguzi wakaungana mkono mwenyekiti mpya

LAKINI wapo wale machawa waliomuunga Mbowe kama sponsor, kama dira, kama mwajiri wao, kama mfereji wa fedha n.k

Watu hao namna bora kabisa ya kuwafariji ni kuwaondoa kwenye chama!
Kila mpango mzuri ndani watautia unaaa (Husda) na kiimani HUSDA huwa inakubalika endapo mtu anauhalali.
Moja ya uhalali ni uanachama wao!
Ili kuondoa hiyo NGUVU HASI katika mipango ya chama ni kuwaondolea UHALALI kwa kuwafukuza!

Hata ukioa mwanamke ambaye akili yake kutwa inasifia tu bwana wake wa zamani,
Kila tukio anasema yule bwanangu hapa angeshafanya hivi na vile hapo ndoa hamna kwa lugha nyingine anataka ufe arudi kwa bwanake, hapo ndoa hakuna unakuwa unapoteza muda na kujitaftia uhanithi kwa kuvumilia ujinga.

Fukuzeni hao vijana haraka wapo wanne; na wanalipwa kwa hujuma hizo. TIMUENI au tafteni plan B kama kuwatimua hamtaki.
Chama Cha demokrasia hakitaki demokrasia 🤣🤣🤣🤣
 
Kwakuwa wanafahamika kwa majina yao ni kuwapotezea tu hakuna haja ya kuwatimua wala kuhangaika kujibizana nao. Unless otherwise.
 
CHADEMA ni taasisi kubwa na inayojitambua sana.. Wenye kujaribu kuichezea watachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Mtu kama John mrema hajawahi kufanya kazi yyte tangu amalize chuo unategemea nn leo mbowe akiwa hayupo??
 
Wataje bro! Binafsi yangu waliowengi team hai wanao msuso fulani hivi 😄😄
Mlamba asali alikuwa na vijana wake anaowatumia na kuwarambisha!

Hao vijana wamebaki na chuki za bos wao dawa ni kuwafyeka kabla hawajaleta madhara
 
Back
Top Bottom