Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa!
Chama cha kisiasa kina sera na itikadi!
Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama hata kushindwa kufuata miiko ya chama!
Hao watu hawafai kabisa kubakia wanachama chadema! Kama mnasikia sauti hii nawashauri Muwafukuze haraka iwezekanavyo!
Wanamikakati yote kuhakikisha uongozi wa Tundu lissu uonekane siyo lolote!
Vijana hao wengi wao wa mlengo wa mbowe wamepewa maagizo ya kudhoofisha kila mpango wa chadema!
Sina maana kwamba kila aliyemuunga mbowe kwamba ni mbaya hapana!
Wapo waluomuunga mbowe kidemokrasia hawa washamaliza uchaguzi wakaungana mkono mwenyekiti mpya
LAKINI wapo wale machawa waliomuunga Mbowe kama sponsor, kama dira, kama mwajiri wao, kama mfereji wa fedha n.k
Watu hao namna bora kabisa ya kuwafariji ni kuwaondoa kwenye chama!
Kila mpango mzuri ndani watautia unaaa (Husda) na kiimani HUSDA huwa inakubalika endapo mtu anauhalali.
Moja ya uhalali ni uanachama wao!
Ili kuondoa hiyo NGUVU HASI katika mipango ya chama ni kuwaondolea UHALALI kwa kuwafukuza!
Hata ukioa mwanamke ambaye akili yake kutwa inasifia tu bwana wake wa zamani,
Kila tukio anasema yule bwanangu hapa angeshafanya hivi na vile hapo ndoa hamna kwa lugha nyingine anataka ufe arudi kwa bwanake, hapo ndoa hakuna unakuwa unapoteza muda na kujitaftia uhanithi kwa kuvumilia ujinga.
Fukuzeni hao vijana haraka wapo wanne; na wanalipwa kwa hujuma hizo. TIMUENI au tafteni plan B kama kuwatimua hamtaki.