William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kuna Uzi nilisema humu NI vigumu kufikia malengo ya Democrasia na utawala wa Sheria ata 80% kwa utawala wa Mama yetu pendwa japokuwa NI kiongozi mzuri na sio muumini wa utawala wa kimabavu.
Swala la Democrasia duniani zipo za Aina mbili. Democrasia ya magharibi. AMBAYO inatoa mwanya wa vyama kubadilishana madaraka.
Democrasia ya mashariki, Hii kumwachia madaraka mpinzani NI mwiko, Unampa madaraka mpinzani anayesapoti Sera za utawala na asiwe na uwezo wa kukosoa ata chembe.
Wanaoipigania Aina hii ya Pili sio CCM Bali NI nchi za mashariki Kama Russia na Uchina. Democrasia hii ilikuwa Kama imeshakufa miaka ya 90' baada ya nchi hizo kufanya mabadiliko makubwa ya Sera zake za kiuchumi na kiutawala miaka ya 80'.
Democrasia ya Magharibi AMBAYO angalau NI halisi ata kwa asilimia 70 ilionekana inaenda kuongoza dunia. Laki gafla Watawala wa Mashariki gafla walianza kupandikiza Democrasia butu duniani. Kimsingi sio Democrasia kabisa. Bali kuwa na uchaguzi usio na chochote.
Chadema kupitia Mwenyekiti wao ama kwa kujua au kutokujua walijipa moyo kuwa wanaweza kupambana na hili kupitia wananchi ukweli ni kuwa haiwezekani.
Russia na China waliweza kupandikiza utawala wa Trump Marekani kwa Siri bila FBI Wala CIA kujua. Baada ya uchaguzi kuisha ndio wanajua. Walishindwa kuficha aibu na kujikuta wakiitangazia dunia kuwa Russia iliingilia uchaguzi wao. Yani Russia iliwawekea utawala Marekani. Kama waliweza kwa Marekani na kabla wachina walihusishwa na utawala mpya wa Zimbabwe vipi huku kwetu. Watatyangalia tu twende tunavyotaka. Huo ndio mtihani.
Lazima watake kila nchi iwe Kama zao. Watataka waafrika baadae warabu na wazungu pia.
Hilo la Democrasia linahitaji msukumo wa kimataifa. Waangalizi wa uchaguzi wawe wazi zaidi. Waongeze vigezo vya kuutambua chaguzi huru na ikiwezekana wasiweze kutambua viongozi watakaoingia kwa ujanja ujanja.
Haya ya kiuchumi we are in Right way. Fedha imeanza kujaa. Kila Kazi italipa. Ila la Democrasia msimtie majaribuni mama.
Ata hao mnaowaita Covid 19 mtaona bungeni mpaka 2025 Kama mtaweka vichwa chini. Kushindwa kuongea na dunua juu ya real Democrasia na kusubiri Wanyonge wawaongelee.
Huwezi shinda Vita na silaha moja tu.