UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hivi mnavyoenda kupiga kura huku matokeo yakijulikana teyari unadhani ni nguvu au akili iliyotumika?Huenda hujui tofauti ya akili na nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnavyoenda kupiga kura huku matokeo yakijulikana teyari unadhani ni nguvu au akili iliyotumika?Huenda hujui tofauti ya akili na nguvu.
Hivi mnavyoenda kupiga kura huku matokeo yakijulikana teyari unadhani ni nguvu au akili iliyotumika?
Uchambuzi wako uko kinadharia zaidi kuliko uhalisia. Hizo nchi za nje ziko kimya kwenye uonevu mwingi wa tawala za mabavu, sasa sijui ni ushauri gani unatoa. Mfano angalia kinachoendelea hapo Ethiopia kwenye jimbo la Tigray, sasa kama sehemu watu wanauliwa kwa mamia na hakuna hatua, ndio itakuwa hapa kwetu? Sioni kama una jipya boss.
Pamoja na yote hayo unayoeleza ila 2025 wenyewe mnajipeleka kupanga foleni huku mkiwa na matumaini ya kupatikana matokeo tofauti, halafu wewe bado unapinga kwamba haitumiki akili.Ni nguvu, maana matokeo halisi sio yanayotangazwa. Ndio maana huwa unaona matumizi makubwa ya vyombo vya dola. Kwenye vyuo vya elimu ya juu akili ndio inayotumika, ndio maana huoni vyombo vya dola vikizingira maeneo hayo, kwani nguvu sio sehemu yake. Utaelewa tu mbona.
Chadema wapiganie kwanza Sheria kandamizi kwa kutumia ushawishi sio ushindani!?Pamoja na yote hayo unayoeleza ila 2025 wenyewe mnajipeleka kupanga foleni huku mkiwa na matumaini ya kupatikana matokeo tofauti, halafu wewe bado unapinga kwamba haitumiki akili.