Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi
Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia
Nahakika Malisa tunayemjua akikutana na Malisa aliyefanya press watashikana mashati
Kibaya zaidi ni kwamba CDM wanafanya siasa za KUMALIZANA. Character assassination as if HAKUNA tena maisha baada ya uchaguzi
Ukiwasikiliza MACHAWA wa pande zote mbili wapo busy kumalizana kwenye press na social media mbele ya UMMA wakiwemo WABAYA wao wakati wapiga kura ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CDM ambao hawazidi 2000
Kuna sababu gani ya kutoka HADHARANI na kumshambulia Mwenyekiti/Makamo wa chama kwa TUHUMA nzito zinazo UA kabisa wajihi wake?
Vipi AKISHINDA na ulimtuhumu ANAHUJUMU chama mtaishi kwa AMANI chungu kimoja?
Katiaka hili CHADEMA walipaswa kujifunza kwa CCM linapokuja swala la chaguzi za ndani ni MARUFUKU kuchafuana HADHARANI, utafanya kampeni zako kwa wapiga kura tu na Sio kuvuana nguo hadarani
Kwa jicho langu naona yafuatayo
Kuna kila sababu ya Mbowe KUSHINDA uchaguzi huu lakini kwa Jinsi Lissu na kampani yake walivyoshambuliwa itakua ni CHANGAMOTO sana kubaki ndani ya CHADEMA, Possibly watahama na kukimega chama na CHADEMA itadhoofika
Na iwapo Lissu atashinda basi tutegemee MABADILIKO makubwa sana ambayo yatawaacha MACHAWA wa Mbowe katika halimbaya sana ndani ya Chama
Hawata HAMA chama sababu bado wana nguvu lakini MIGOGORO itakua haiishi na chama kitadhoofika sana
Kabla ya mtifuano huu nadhani HEKIMA za Baba Askofu Boganza zingezingatiwa tusingefika huku