daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
Duuh aisee....ukisikia hoi wako hoi kwelikweli
Ana kipi kipya?Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM.
Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
Kwani uchaguzi utakuwepo?? Si kashahonga watu wote ili apite bila kupingwa?? Mnatafuta huruma ya chadema kuonesha atashinda kwa halali??Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM.
Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
Huo ujinga wa kuchukua takataka za ccm ulisababisha chama kipate mamluki wengi sana mwaka 2015
Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM.
Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
Wanaweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa wakiamua kumteua JPM kuwa mgombea wao kama alivyofanya Mrema. Vinginevyo watapata kura za aibu hawatoamini. Kwanza hawawezi kutetea kiti hata kimoja cha ubunge, ukisikia hoi wako hoi kwelikweli
Kwani uchaguzi utakuwepo?? Si kashahonga watu wote ili apite bila kupingwa?? Mnatafuta huruma ya chadema kuonesha atashinda kwa halali??
Acha utaniTaarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM.
Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.